18/06/2020
DpL Business Solutions&Consultant tunaendelea kufanya Biashara za watanzania kutambulika Rasmi.
Tunashukuru sana wateja wetu kwa kutuamini kwa kuchagua huduma nzuri na za uhakika kutoka kwetu.
Huduma tunazotoa ni k**a ifuatavyo;
1.Kusaidia kusajili Kampuni.
2.kusaidia Kusajili Majina ya Biashara.
3.Kuandaa katiba za vikundi
4.Kuandaa katiba za Kampuni
5.Kuandaa mikataba ya kisheria
6.kutoa ushauri wa kisheria
Kwa maelezo fika ofisini kwetu Mabibo External karibu na Mkapa Epza au wasiliana nasi piga/WhatsApp 0685700603.