JEMA Motivation

JEMA Motivation Be Motivated, Move Forward

05/01/2025

"Hekima na Busara ni ulinzi, kujua nyakati za Nini useme na nini usiseme na wapi ni mafanikio!!!".

02/01/2025

"Mwelekeo ni muhimu sana kuliko mwendo."

01/01/2025

"Kuna wakati Huwa tunaficha hisia zetu tunasahau kuwa macho pia husema hali zetu".

01/01/2025

"2025 Furaha yangu inatoka ndani yangu na nitasherehekea na wote wanaonikubali na kunipa mkono, natambua wasionikubali lakini sihitaji uthibitisho Wala mkono wako."

"2025 Furaha yangu inatoka ndani yangu na nitasherehekea na wote wanaonikubali na kunipa mkono natambua wasionikubali la...
01/01/2025

"2025 Furaha yangu inatoka ndani yangu na nitasherehekea na wote wanaonikubali na kunipa mkono natambua wasionikubali lakini sihitaji uthibitisho Wala mkono wako."

31/12/2024

"Maji machafu hayazuii mmea kustawi, usiogope maneno na mtazamo mbaya havitazuia ustawi wako".

23/11/2024
22/11/2024
04/09/2024

"Kwa masikio na macho yangu nimesikia na kuwaona waharibifu wawili; anayejua kakaa kimya na asiyejua ndiye anayeongea."

04/09/2024

"Nyakati zote jipende Jisamehe, jiheshimu na ujithamini mwenyewe kwanza, simama kwenye kioo ongea Kwa upole na upendo na huyo mtu mbele Yako."

03/09/2024

"🔥Naamini hujambo wewe unaesoma ujumbe huu, Mungu , akurehemu, akulinde, akuinue na kufungua milango ya Baraka🔥"

02/09/2024

"Hakuna kitu kizuri k**a kukaa pamoja, kuzungumza Kwa hisia huru, kushauriana, kula na kucheka pamoja lakini nyakati hizo ni k**a zinakuwa historia sasa."

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255782333511

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JEMA Motivation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JEMA Motivation:

Share