Daruu salafiya

Daruu salafiya karibuni sana daaru salafiya kwajili yaku pata faida zaki dini

karibu sana daaru salafiya kwajili yaku pata faida na tuniwe mambo katika dini yetu yakisilamu http://www.daarussalafiya.com

06/04/2022
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°*MSISITIZO WA MTUME Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω… JUU YA KULA DAKU*ΨΉΩ†  Ψ£Ω†Ψ³ Ψ¨Ω† Ω…Ψ§Ω„Ωƒ رآي Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ†Ω‡ Ω‚Ψ§Ω„ Kutoka kwa Anas Bin ...
03/04/2022

πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°

*MSISITIZO WA MTUME Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω… JUU YA KULA DAKU*

ΨΉΩ† Ψ£Ω†Ψ³ Ψ¨Ω† Ω…Ψ§Ω„Ωƒ رآي Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ†Ω‡ Ω‚Ψ§Ω„

Kutoka kwa Anas Bin Maaliki آي Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ†Ω‡ amesema

Ω‚Ψ§Ω„ Ψ±Ψ³ΩˆΩ„ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω…

Amesema mtume Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω…

Ψͺسحروا فΨ₯Ω† في Ψ§Ω„Ψ³Ψ­ΩˆΨ± Ψ¨Ψ±ΩƒΨ©

Kuleni daku, kwa hakika katika(kula)daku kuna baraka

Al Bukhaariy namba 1923
Muslim namba 1095

*FAIDA ZA HADIYTHI HII*

*FAIDA YA KWANZA*
Amesema Ibn Hajar kula daku hupatikana kwa kichache zaidi ya anachojipatia mtu katika chakula au kinywaji,hadiythi hii imekharijiwa na (Imam )Ahmad kutoka katika hadiythi ya Abuu Sa'iyd Al Khudri kwa lafdh *"KULA DAKU NI BARAKA KWA HIVYO MSIACHE (KULA DAKU)JAPO MMOJA WENU ANYWE FUNDA LA MAJI,KWA HAKIKA ALLAAH NA MALAIKA WAKE WANAWASWALIA WANAOKULA DAKU"* Sa'iyd Bin Mansuur amepokea kwa isnad nyingine ambayo ni mursal: *"KULENI DAKU JAPO NI KWA TONGE MOJA*

Marejeo:FAT-HUL-BAARIY

*FAIDA YA PILI*
Amesema Imam Nawawiy Allaah amrehem,hapa kunamsisitizo juu ya kula daku,ulamaa wamewafikiana kuwa ni sunna wala si wajibu,Ama baraka iliyomo humo,iko wazi kwa sababu daku hutilia nguvu saumu,na hutilia nishati na hupatikana kwa sababu yake Raghba(shauku)ya kuzidi kufunga,kutokana na wepesi wa takhilifu kwa aliye kula daku,huu ndiyo usawa unaotegemewa katika maana yake,na imesemwa ni kwa sababu hujumuisha mtu kuamka,kufanya dhikr na kuomba dua na istighfari(kuomba msamaha)na pengine mlaji daku huenda akatawadha na akaswali au kuchukua mandarizi ya swala mpaka alfajiri itokezapo

Marejeo:SHARHU MUSLIM YA AL IMAAM AN-NAWAWIY

πŸ“šβœοΈ By Al Akhy Abuu 'Uthaymiyn Haarun Ibnul Raashid Assalafiyyu Almaalikiyyu Allaah amuhifadhi

DAARU SSALAFIYYAH MEDIA*
Sasa tunapatikanwa katika mitandao ya kijamii mbali mbali, kwa link zifuatazo:
YouTube πŸ‘‡
https://youtube.com/channel/UCx_RKDo3ZKtvrYxfa5F4ObQ

Telegram πŸ‘‡
https://t.me/daarusalafiyah

WhatsAppπŸ‘‡
https://chat.whatsapp.com/IlIwTVKC5NjIhIyZRzq2IK

Google πŸ‘‡
http://www.daarussalafiya.com/

InstagramπŸ‘‡
https://instagram.com/daarussalafiyah

DAARU SSALAFIYYAH MEDIA TANZANIA:TUSHINDANE NA WAOVU KATIKA MITANDAO MPAKA IBAINIKE HAKKI

"⚑SABABU INAYOPELEKEA KUISAHAU QUR’AN BAADA YA KUIHIFADHI ⚑ "β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”Ω‚Ψ§Ω„ Ψ§Ω„ΨΆΨ­Ψ§Ωƒ Ψ±Ψ­Ω€Ω…Ω‡ Ψ§Ω„Ω„Ω‡:Ames...
23/03/2022

"⚑SABABU INAYOPELEKEA KUISAHAU QUR’AN BAADA YA KUIHIFADHI ⚑ "

β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Ω‚Ψ§Ω„ Ψ§Ω„ΨΆΨ­Ψ§Ωƒ Ψ±Ψ­Ω€Ω…Ω‡ Ψ§Ω„Ω„Ω‡:

Amesema Al-Dhwahāk Allah amrehemu:
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
Ω…Ψ§ ΨͺΨΉΩ„Ω…ΩŽΩ‘ Ψ±Ψ¬Ω„ΩŒ Ψ§Ω„Ω‚Ψ±Ψ’Ω† Ψ«Ω…Ω‘ Ω†Ψ³ΩŠΩŽΩ‡ Ψ₯Ω„Ψ§Ω‘ Ψ¨Ψ°Ω†Ψ¨ΨŒ

Hakujifundisha mtu yeyote Qur’ān kisha akaisahau isipokuwa ni kwa sababu ya dhambi (aliyoifanya ),

β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Ψ«Ω…Ω‘ Ω‚Ψ±Ψ£

Kisha akaisoma (Aya hii)

{ΩˆΩŽΩ…ΩŽΨ§ Ψ£ΩŽΨ΅ΩŽΨ§Ψ¨ΩŽΩƒΩΩ…Ω’ مِنْ Ω…ΩΨ΅ΩΩŠΨ¨ΩŽΨ©Ω ΩΩŽΨ¨ΩΩ…ΩŽΨ§ ΩƒΩŽΨ³ΩŽΨ¨ΩŽΨͺΩ’ Ψ£ΩŽΩŠΩ’Ψ―ΩΩŠΩƒΩΩ…Ω’}

{Na kile kilichowasibu
kutokana na msiba wowote,basi ni kwa sababu ya yale yaliyochumwa na mikono yenu}
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Ψ«Ω…Ω‘ Ω‚Ψ§Ω„:

Kisha akasema:
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”
ΩˆΨ£ΩŠΩ‘ Ω…Ψ΅ΩŠΨ¨Ψ© Ψ£ΨΉΨΈΩ… Ω…Ω† Ω†Ψ³ΩŠΨ§Ω† Ψ§Ω„Ω‚Ψ±Ψ’Ω†ΨŸ!

Na ni msiba upi uliokuwa mkubwa mno kuliko msiba wa kuisahau Qur’ān?!

β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”

Ψ§Ω„Ψ¬Ψ§Ω…ΨΉ Ω„Ψ£Ψ­ΩƒΨ§Ω… Ψ§Ω„Ω‚Ψ±Ψ’Ω† Ω‘Ω¦/Ω£Ω 

πŸ“š Al Jāmi’u li-ahkām-il-Qur’ān
[30/16]
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-

πŸ–‹οΈπŸ–‹οΈ Mfasiri:Abul Aaliyah Umar bin Muhammad bin Kondo (Allaah amuhifadhi)

πŸ—“οΈTarehe:
Rajab - 8 -1443 Hijiriyyah
Jumatano 9- February -2022 Miladiyyah

http://www.daarussalafiya.com
_____________________________

https://t.me/joinchat/z1VT8zTfIqgwZTQ0
_____________________________whatsapp. https://chat.whatsapp.com/IlIwTVKC5NjIhIyZRzq2IKβ€’β”ˆβ”ˆβ”ˆβ”ˆβ€’β—ˆβ—‰βœΉβ’ββ’βœΉβ—‰β—ˆβ€’β”ˆβ”ˆβ”ˆβ”ˆβ€’

SABABU YA INAYOPELEKEA KUISAHAU KUSOMA QUR’ĀN BAADA YA KUIHIFADHI Get link Facebook Twitter Pinterest Email Other Apps - March 23, 2022 Β "⚑SABABU INAYOPELEKEA KUISAHAU QUR’AN BAADA YA KUIHIFADHI ⚑ " β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”....

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daruu salafiya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share