sbukanu

sbukanu Actions is speaker than words 🀐🀐

Baada ya mechi ya MABWANYENYE DERBY Team Simba Vs Team Franco na Team Simba kuibuka na ushind wa Team Simba 4 -Vs - Team...
21/06/2025

Baada ya mechi ya MABWANYENYE DERBY
Team Simba Vs Team Franco na Team Simba kuibuka na ushind wa Team Simba 4 -Vs - Team Franco 2
kukabidhiwa zawadi kwa washindi

21/06/2025
21/06/2025
SIMBA, BUKANU M. . SimbaNasoma NIT course ya Road and Railway mwaka wa pili nimeingia kwenye mashindano ya vyuo na vyuo ...
20/06/2025

SIMBA, BUKANU M. . Simba
Nasoma NIT course ya Road and Railway mwaka wa pili nimeingia kwenye mashindano ya vyuo na vyuo vikuu UNICHAMPIONS SEASON O2 nikiwa kwenye Category ya BEST LEADERSHIP
Naomba kura zenu wana NIT na Watanzania wote kwa ujumla
🫴 "SIMBA, NIKISHINDA- NIT IMESHINDA" βœ… tukailete tuzo nyumbani

Kura zinapigwa kwenye Instagram page kupia linki
Jinsi ya kupiga kura unaingia kwenye link na kisha unaenda kwenye picha na jina langu una likes πŸ‘ na ku comment

LINKπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/p/DLInTKFImiX/?igsh=MW9zM24yODY1Zjlyaw==

LoveπŸ’˜  is all about to link heart ❀ with other and make them feel happy. Nashukulu Mungu kwa kufanikisha hili, hawa ni m...
01/12/2024

LoveπŸ’˜ is all about to link heart ❀ with other and make them feel happy. Nashukulu Mungu kwa kufanikisha hili, hawa ni miongon mwa watoto yatima tulio fanikiwa kuwatembelea, kushiki keki πŸŽ‚ pamoja na chakula 🍝🍜 cha mchana meza moja, kuchangia baadhi ya mahitaji
siku ya jana tareh 30/11/2024 waliopo kituo cha kulelea watoto yatima FURAHA CARE CENTER kilichopo Bagamoyo. Asate sana uongozi wa wanafunzi SONIT awamu ya 39 Kutoka Chuo cha Taifa Cha Usafilishaji (NIT) pamoja na wanafunzi wote kwa ujumla waliojitorea kufanikisha hili Mungu awabaliki sanaπŸ™πŸ™πŸ™

sometimes we don't talk🀐🀫 but actions speak
31/05/2024

sometimes we don't talk🀐🀫 but actions speak

sometimes we don't talk 🀫🀐 but actions speak
31/05/2024

sometimes we don't talk 🀫🀐 but actions speak

Mapoz na mm
01/03/2024

Mapoz na mm

Address

Ubungo
Dar Es Salaam
66

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255621295820

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sbukanu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to sbukanu:

Share