28/05/2026
**TUNAKUSAJILIA COMPANY BURE**
Watu wengi wana ndoto kubwa za biashara lakini bado hawajasajili kampuni zao rasmi.
Na ukweli ni huu…
Biashara nyingi zinapoteza opportunities kubwa kwa sababu hazina company rasmi.
Wengine wanashindwa kupata zabuni, kuaminika mbele ya wateja au kufanya biashara kwa level kubwa kwa sababu hawana kampuni iliyosajiliwa.
Leo hii ukitaka:
✅ Kujenga brand kubwa
✅ Kufungua account ya kampuni
✅ Kufanya biashara professionally
✅ Kupata zabuni
✅ Kuaminika zaidi mbele ya wateja
✅ Kulinda biashara yako kisheria
Kuwa na kampuni rasmi ni hatua muhimu sana.
Tatizo ni kwamba watu wengi wanaahirisha kwa sababu wanaamini usajili wa kampuni ni gharama kubwa sana.
Ndio maana STARHIVE GROUP tumefungua offer maalum ya:
**USAJILI WA COMPANY BURE KWA SIKU 7 TU**
Kwa siku hizi 7:
✅ Consultation Fee imeondolewa kabisa
✅ Utalipia Government Fees za BRELA pekee
✅ Unaweza kuanza process mapema kabla gharama hazijarudi kawaida
Na hii offer sio ya muda wote.
Watu wengi tayari wameanza process zao mapema.
Ukichelewa consultation fee itarudi k**a kawaida baada ya siku 7 kuisha.
Katika process hii tutakusaidia:
✅ Company Registration
✅ Mwongozo wa hatua kwa hatua
✅ Uhakiki wa nyaraka
✅ Maandalizi ya company documents
✅ Ushauri wa usajili wa biashara
K**a bado huna:
* Memorandum and Articles of Association
* Mwanasheria wa muhuri
* Form No. 14B
Usijali.
STARHIVE GROUP tunaweza kusaidia kuandaa kila kitu kwa usahihi wa BRELA.
Huduma hiyo inajumuisha:
✅ Memorandum and Articles of Association
✅ Muhuri wa mwanasheria
✅ Kugongwa muhuri kwenye Form 14B
✅ Marekebisho ya nyaraka
✅ Uhakiki kabla ya submission
Watu wengi wanakuja baada ya offer kuisha ndipo wanajuta kuchelewa.
Usisubiri mpaka uanze kuona wengine wanafungua kampuni zao huku wewe bado uko hatua ya kupanga kuanza.
K**a una mpango wa kufanya biashara kwa level kubwa, huu ndio muda sahihi wa kuanza.
✅ Offer hii ni ya siku 7 tu
✅ Watu wanaendelea kuingia kila siku
✅ Ukichelewa gharama za consultation zitarudi kawaida
Tuma DM sasa hivi au wasiliana nasi mapema.
📞 0744839383
STARHIVE GROUP
**Empowering Your Future**