Ity Tanzania originally

Ity Tanzania originally GRACE DAGAA MWANZA

Biashara ya Dagaa ina faida nyingiIli uanze biashara ni vizuri ukafanya utafiti k**a itakulipa.Namna ya kuanza hii biash...
12/02/2026

Biashara ya Dagaa ina faida nyingi
Ili uanze biashara ni vizuri ukafanya utafiti k**a itakulipa.

Namna ya kuanza hii biashara inakubidi uwe mzuri wa kushawishi wateja kwenye eneo uliopo na mtandaoni
Inakubidi uanze na ndoo moja yaani sado 5 kwangu utaichukulia kwa 110,000 pamoja na usafiri.
Namna ya kuuza utatafta vikontena vya ujazo tofauti tofauti kuna vya 500mls, 750mls na 1000mls lakini wengi wanapenda kuuzia vya 500mls na 750mls.

500mls uza 3500 au 4000 kwenye sado vinatoka 10
750mls uza 5000 au 6000 kwenye sado vinatoka 7
1000mls uza 8000 au 10,000 kwenye sado vinatoka 4.5 au 5

Jinsi ya kutunza dagaa tafta kibeseni chenye nyavu zimimine dagaa hapo utakuwa umeweza au k**a una ungo inafaa
Jitangaze kwenye mitandao ya kijamiii mitandao ina wateja wengi cha msingi kuwa mwaminifu.

Anza taratibu jipe moyo utafanikiwa tu usitake vingi kwa wakati mmoja.
Kuna wakati utakula hasara isiwe kigezo cha kukatisha tamaa.

Anza leo Muombe Mungu akuongoze
0784616006/0752813867

Grace Godfrey

07/01/2025
Nauza dagaa wa Mwanza waliokaangwa wabichi bila kuanikwa juani,watamu sana,hawana mchanga,hawawashi,sio wachunguJumla sa...
08/09/2024

Nauza dagaa wa Mwanza waliokaangwa wabichi bila kuanikwa juani,watamu sana,hawana mchanga,hawawashi,sio wachungu

Jumla
sado 17,000/= kuanzia sado 3
Ndoo ndogo.......51,000/=
Ndoo kubwa.......80,000/=

0752 285 981

Mikoani tunatuma kwa UAMINIFU NA TUNA MAWAKALA PIA KARIBUN SAN

☎️ 0752 813867
0752 813867

https://chat.whatsapp.com/K4QMCeltrVjJojWnk7zz9h

13/05/2024

My sister.....

KARIBUNI KWA ORDER YA DAGAA WA MWANZA NA SAMAKI SATO NA SANGARAPIGA SIMU 0784 616006 AU TUMA SMS WHATP NAMBA 0752 813867...
10/05/2024

KARIBUNI KWA ORDER YA DAGAA WA MWANZA NA SAMAKI SATO NA SANGARA

PIGA SIMU 0784 616006

AU TUMA SMS WHATP NAMBA 0752 813867

BEI ZETU NI RAFIKI
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

BEI YA DAGAA WA MWANZA WALIOKAANGWA KWA VIUNGO πŸ˜‹

1-Kisado 1 Tsh = 20,000/=
2-Ndoo ya lita 10 Tsh = 60,000/=
3-Ndoo ya lita 20 Tsh = 80,000/=
4-Gunia la debe sita Tsh = 420,000/=

BEI YA DAGAA WA MWANZA WAKAVU WALIOKAANGWA πŸ˜‹πŸ˜‹

2-Ndoo ya lita 10 Tsh = 35,000/=
3-Ndoo ya lita 20 Tsh = 55,000/=
4-Gunia la debe 6 Tsh = 270,000/=

SAMAKI WAKAVU ( SANGARA) BEI YA JUMLA TU KUANZIA PIC 10 KWA BEI YA JUMLA BEI KUTOKANA NA UKUBWA πŸ‘‡πŸ‘‡

Kibambala cha sangara pic 1 Tsh 3500(KIPANDE)
Kibambala cha sangara pic 1 Tsh 8000 (MKUBWA)

SAMAKI SATO ALIYEKAANGWA BEI YA JUMLA TU KUANZIA PIC 5 πŸ‘‡πŸ‘‡

Sato aliyekaangwa pic 1 Tsh 9000
Sato wabichi pc 1 8000
Sangara aliyekaangwa pc 1 ni 13000
Sangara mbichi 10000

Wa mwanza weka Order kwa kutanguliza pesa nusu ya mzigo unahoitaji utahudumiwa kwa haraka zaidi, Wa mikoami mnatumiwa ... tupo Mwanza k8
Call 0752 813867
Sms$Whtsp 0784 616006

Uaminifu ndio ngao yetu ...Karibuni sana na MUNGU awabarikiπŸ™πŸ½

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ity Tanzania originally posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share