Ujenzi wa mashimo ya choo

Ujenzi wa mashimo ya choo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ujenzi wa mashimo ya choo, Business service, Gongolamboti, Dar es Salaam.

15/09/2025

Tunaje mfumo ya majita yasiyojaaa kwa gharama nafuu ya 800, 000/- kwa shimo moja na kwa 1, 200, 000/= mashimo mawili kwa dar es salaam na pwani, kwa mikoani tshs 1, 000, 000/- kwa shimo moja na 1, 550, 000/- kwa mashimo mawili

22/12/2024
Tunajenga mashimo ya choo yakisasa yasiyojaa kwa gharama nafuu tshs1, 113, 000/- tu kila kitu kwetu, uchimbaji, material...
29/06/2022

Tunajenga mashimo ya choo yakisasa yasiyojaa kwa gharama nafuu tshs1, 113, 000/- tu kila kitu kwetu, uchimbaji, material, ufundi mpaka tunakukabidhi kazi
Tupigie +255767-485877
+255715-500597
Faida
=>huchukua eneo dogo sana
=> huyana harufu
=> hayajai
=> hayahitaji kunyonywa na gari ya majitaka (bozza)
=> Tunamifumo inayofanya vyema sehemu zenye (chemichem) na idadi kubwa ya watu, viwandani, mashuleni, misikitini, makanisani, vyoo vyakulipia, masoko, mahotel, n.k
=> Ni tecnolojia inayotumia shimo moja tu ni mabadala wa mshimo ya awali
=> Hayachagui aina ya udongo yanafanya vyema katika aina zote za udongo
=> Huipa nyumba yako mwonekano mzuri na wakisasa

Kiofisi tunapatikana
Dar es salaam
Gongolamboto
Bwela transfoma
KIKAZI TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TZ KIKUBWA NI UAMINIFU NA MAWASILIANO MAZURI KATI YETU NA WEWE MTEJA WETU KARIBU KWA MAULIZO MASAA 24

TUNAJENGA MASHIMO YA CHOO YA KISASA YASIYOJAA KWA GHARAMA NAFUU TSHS 1, 113, 000/- TU,  KILA KITU KWETU KUANZIA KUCHIMBA...
31/05/2022

TUNAJENGA MASHIMO YA CHOO YA KISASA YASIYOJAA KWA GHARAMA NAFUU
TSHS 1, 113, 000/- TU, KILA KITU KWETU KUANZIA KUCHIMBA, MATERIAL, NA UJENZI
=> huchukua eneo dogo
=> Hakuna harufu
=> Hayajai
=> Hayahitaji kunyonwa kwa gari ya maji taka
=> Yanafanya vyema kwenye ardhi yenye chemichem
=> Yanafaa kwenye apattment, shule, kanisa, msikiti, mahotel, vyoo ya kulipia, bar, viwanda, kumbi n.k
=> Huipa nyumba yako mwonekano mzuri na wa kisasa
=> Hayachagui aina ya udongo yanafanya vizuri katika aina zote za udongo

Kiofice tunapatikana
Dar es Salaam
Gongolamboto
Bwela transfoma
Ukituhitaji kwa kazi tunakufikia popote ulipo tz, kikubwa uaminifu kati yetu na wewe mteja wetu, maswali yote yatajibiwa na wataalam wetu, masaa 24 karibu

Tunajenga mashimo ya choo ya kisasa yasiyojaa kwa gharama nafuu ya tshs 1, 113, 000/- tu kila kitu kwetu kaunzia kuchima...
21/04/2022

Tunajenga mashimo ya choo ya kisasa yasiyojaa kwa gharama nafuu ya tshs 1, 113, 000/- tu kila kitu kwetu kaunzia kuchima, ufundi, na material pia tuna mfumo unaufaa maene korofi, k**a kwenye maji mengi au chemichemi na mfinyanzi kwa gharama ya tshs 1, 800, 000/- tu
Faida
=> Huchukua eneo dogo la ujenzi
=> Hukuna harufu
=> Hayajai kamwe
=> Hayaitaji kunyonywa hivyo huepusha gharama
=> Hufanya vyema kwenye aina zote za udongo hayachagui
=>Wewe unaemiliki, kanisa, Shule, Msikiti, hotel, kiwanda, soko, kumbi, bar, Apattment, n.k usisite kutupigia
=> Huipa nyumba yako mwonekano mzuri na wa kisasa

Tupigie +255715500597 au +255767485877

Kiofice tunapatikana Dar es Salaam
Gongolamboto mtaa wa bwella transfoma

25/03/2022

Karibu ujenge nasi mashimo ya choo yakisasa yasiyojaa na kwa gharama nafuu M 1.7 kwa biodigester Na M 1, 113, 000/- kwa Ecolojia Septic tank, Ofice zetu zinapatikana
Dar es Salaam,
Gongolamboto
=>Huchukua eneo dogo la ujenzi
=> Haukuna harufu
=> Hayajai
=> Hayanyonyi hivyo huepusha gharama
=> Hufanya vyema katika maeneo yenye chemichem
=> Apattment, Mashule, Masoko, Mahotel, viwanda, Makanisa, Misikiti, kumbi, mabar, n.k usisite kututafuta
=> Huipa nyumba yako mwonekano mzuri na wakisasa

12/08/2021

Tunajenga mashimo ya choo ya kisasa yasiyojaa Ecolojia na biodigester septic
Biodigester septic tshs 1.8 tu
Ecolojia septic Tshs 1, 113, 000/ tu kila kitu kwetu

12/08/2021

Tunajenga mashimo ya choo yasiyojaa na yanachukua nafasindogo kujenga tunafika popote ulipo tanzania BIODIGESTER NA ECOLOJIA SEPTIC TANK
septic tsh 1.8 tu
Septic tshs 1, 113, 000/-

Address

Gongolamboti
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ujenzi wa mashimo ya choo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ujenzi wa mashimo ya choo:

Share