Suuh na kipato huru

Call Directions Contact the business

Suuh na kipato huru NASAIDIA WANAWAKE NA MABINTI WENYE NDOTO KUJENGA BIASHARA KUBWA NA KUMILIKI NDOTO ZAO

๐ŸŒŸDAR ES SALAAM ๐ŸŒ Kila mtu ana nafasi ya kubadilisha maisha yake โ€“ na mara nyingine nafasi hiyo huja kwa namna ya kipekee...
27/08/2025

๐ŸŒŸDAR ES SALAAM

๐ŸŒ Kila mtu ana nafasi ya kubadilisha maisha yake โ€“ na mara nyingine nafasi hiyo huja kwa namna ya kipekee.
๐Ÿš€ Sasa Dar es Salaam, hiyo nafasi imefika!

Tarehe 31/08/2025, pale Mwenge saa 7 mchana, tunazindua rasmi PROJECT MPYA. Hii siyo tu event ya kawaida, bali ni mwaliko wa kuanza safari mpya ya maisha yenye mabadiliko, matumaini na mafanikio.

โœจ Fikiria hiviโ€ฆ

๐Ÿ‘” Ukiwa mwaajiriwa una uhuru wa kuongeza kipato na kupunguza presha ya mishahara midogo.

๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ง Ukiwa mama wa nyumbani, unaweza kuanza kujenga kipato huku ukiendelea kulea familia yako.

๐ŸŽ“ Ukiwa mwanafunzi au mhitimu, unapata nafasi ya kuanza kujitegemea mapema na kuwa kioo cha mabadiliko kwa wengine.

๐Ÿ’ผ Ukiwa mfanyabiashara, unapanua upeo wa mafanikio yako na kuunganisha nguvu na mtandao mkubwa zaidi.

๐Ÿ‘‰ Hii project imebuniwa kuwakumbusha kuwa ndoto zako zinawezekana. Unachohitaji ni kuchukua hatua, kuamini kuwa unaweza, na kujiunga na safari hii mpya.

Siku ya 31/08/2025 ni mwanzo wa historia โ€“ siyo tu historia ya project, bali historia ya maisha ya wale wote watakaochukua nafasi ya kuwa sehemu yake.

๐Ÿ“ž Kwa maelezo zaidi: Call/WhatsApp 00621334545

๐Ÿ—“๏ธ Tarehe: 31/08/2025
๐Ÿ“ Mwenge
โฐ Saa 7 mchana

๐Ÿ‘‰ Usiache nafasi hii ikupite. Jiunge nasi, kwa sababu wakati mwingine, hatua moja tu inaweza kubadilisha maisha yako yote. โœจ

๐ŸŒŸDAR ES SALAAM๐ŸŒ Kila mtu ana nafasi ya kubadilisha maisha yake โ€“ na mara nyingine nafasi hiyo huja kwa namna ya kipekee....

16/08/2025
COMFORT ZONE Hii hali ipo kwa watu wengi sana jitahidi katika maisha yako na sala zako muombe mungu akutoe kweny hali ya...
16/08/2025

COMFORT ZONE
Hii hali ipo kwa watu wengi sana jitahidi katika maisha yako na sala zako muombe mungu akutoe kweny hali ya kuridhika ni adui wa maisha yako

Maisha ndan ya biashara yetu
16/08/2025

Maisha ndan ya biashara yetu

Biashara yenye upendoโค๏ธโค๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
16/08/2025

Biashara yenye upendoโค๏ธโค๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Biashara yenye upendoโค๏ธ
16/08/2025

Biashara yenye upendoโค๏ธ

Mafunzo ndio msingi mkuu wa biashara yetuโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ
16/08/2025

Mafunzo ndio msingi mkuu wa biashara yetuโœ…๏ธโœ…๏ธโœ…๏ธ

16/08/2025

Address

Upanga Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255621334545

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Suuh na kipato huru posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Suuh na kipato huru:

Shortcuts

Share