FOOD Nutrients

FOOD Nutrients Food nutrients Concerning the concept in food supplements taken for daily health and energy through the wide range, also contain phytonutrients combined

Ofa ofa ofa, kw wateja wa dar ea salam, nyote biadha hiyapa kwa bei rahisi sawa na bure, kila kiyatu ni Tsh 12000. Haija...
13/05/2024

Ofa ofa ofa, kw wateja wa dar ea salam, nyote biadha hiyapa kwa bei rahisi sawa na bure, kila kiyatu ni Tsh 12000. Haijalish size muundo muonekano
Wahi sasa au michek whatsap 0612145597 pia unawez tuma sms au kupiga kwa namba hizo

Matunda yana faida nyingi sana za kiafya mwilini. Ukiachana na ladha tamu inayotokana na kula matunda, kila mtu anashaur...
02/03/2020

Matunda yana faida nyingi sana za kiafya mwilini. Ukiachana na ladha tamu inayotokana na kula matunda, kila mtu anashauriwa ale matunda tofauti yasiyopungua matano (5) kwa siku ili kupata faida zote mwilini. Faida kuu za matunda ni kuzuia maradhi, kurutubisha kinga ya mwili, kupunguza sukari kwenye damu, kungarisha ngozi, kuleta nguvu na kuleta mafuta asilia kwenye mwili.
Watu wanaopendelea kula matunda na mboga za majani k**a sehemu yao kubwa ya mlo wa kila siku hujenga kinga madhubuti za mwili dhidi ya magonjwa. Matunda yana virutubisho asilia ambavyo ni mahususi katika kujenga mwili na kuufanya kuwa na afya njema. Matunda hubeba virutubisho muhimu k**a potasiam, vitamin C, vitamin A, nyuzi nyuzi (fiber) na folic acid.
Ulaji wa matunda unasaidia mwili hukufanya kupata faida zifuatazo:
Yanapunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kiharusi
Yanakinga mwili dhidi ya aina za saratani
Nyuzi nyuzi (fiber) za kwenye baadhi ya matunda k**a maembe zinasaidia kulinda dhidi ya magojwa k**a msh*tuko wa moyo (heart attack), fetma na kisukari. Lakini pia inasaidia kupunguza madhara ya uvimbe unaotokana na kuwa na chumvi nyingi mwilini.
Kula matunda yenye potasiam k**a ndizi na apricot kwa wingi yanasaidia kupunguza magonjwa ya shinikizo la damu. Matunda aina hizi husaidia pia kupunguza mawe kujaa kwenye figo.
Vitamin C ni muhimu katika mwili kwasababu inasaidia ukuaji na utengenezaji wa tishu za mwili. Mfano ni meno na fizi. Vitamic C inasaidia pia uchocheaji wa uponaji wa vidonda kwa haraka. Vitamin C inapatikana kwenye matunda mengi machachu, mfano machungwa, limao n.k
Folic acid inasaidia kutengeneza chembe hai nyekundu za damu mwilini. Wanawake wajawazito au walio kwenye umri wa uzazi wanashauriwa sana kula vyakula vyenye folic acid kwa wingi ili kusaidia ukuaji wa mototo tumboni na kudhibiti dhidi ya magonjwa.
Ni wazi kuwa huwezi kupata matunda ya aina yote kwa wakati mmoja, vilevile matunda mengi uanapatikana katika kipindi fulani za msimu wa mwaka. Matunda aina fulani k**a sio msimu wake basi huwa yanuzwa kwa bei ya juu sanaa.
Hivyo inashauriwa kwa kipindi/msimu ambacho matunda fulani yanapatika, kula kula kwa wingi, tukihamia msimu mwingine na matunda mengine kula kwa wingi. Hi husaidia mwili kuwweka reserve mwilili hata ukikosa kipindi fulani lakini kuna madini akiba yaliyohifandhiwa mwilini.
"KULA MATUNDA WAKATI WOTE USISUBIRI KUAMBIWA NA DAKTARI"
Whatsaap number 0656109275
Sms and call +255621623493

Tupo na product ya CHOLESTEROL REDUCEHii product ni nzuri kwa kupunguza mafuta machafu mwilini Ni mafuta ya samaki yenye...
30/10/2019

Tupo na product ya CHOLESTEROL REDUCE
Hii product ni nzuri kwa kupunguza mafuta machafu mwilini
Ni mafuta ya samaki yenye OMEGA 3 Hupunguza vitambip,,

Fahamu kahawa aina ya LATE ni product nzuri ambayo ukitumia inaweza kukuondoshea magonjwa sugu mwilini mwako. Call 06561...
30/10/2019

Fahamu kahawa aina ya LATE ni product nzuri ambayo ukitumia inaweza kukuondoshea magonjwa sugu mwilini mwako.
Call 0656109275

15/10/2019

*** F A H A M U. U G O N J W A W A K I S U K A R I. ***
SABABU ZA KISUKARI HUTOFAUTIANA KULINGANA NA AINA YA UGONJWA HUO.
-Aina ya kwanza ya kisukari ina uhusiano mkubwa sana na kurithi. Aidha aina hii pia husababishwa na maambukizi virusi k**a vile Coxsackie virus type B4.
Visababishi vingine ni pamoja na sumu inayotokana na kemikali za
baadhi ya vyakula (food borne chemical toxins), na kwa baadhi ya watoto wachanga maziwa ya ng'ombe yanaweza kuchochea kinga ya mwili wa mtoto uushambulie mwili wenyewe na hivyo kusababisha uharibifu katika tezi kongosho.
-Aina ya pili ya kisukari kwa ujumla husababishwa zaidi na jinsi mtu anavyoishi na pia matatizo ya kijeneteki. Aidha kuongezeka uzito na unene kupita kiasi (obesity).
Sababu nyingine ni pamoja na kuongezeka umri, maisha ya kivivu na kutofanya mazoezi na pia ugonjwa wa tezi kongosho (pancreatitis) ambao hufanya insulin inayozalishwa kuwa na ufanisi mbovu au ya kiwango cha chini.
-DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI .
-Kukojoa mara kwa mara
-Kuhisi kiu kali na kunywa maji kwa kiwango cha kupitiliza (polydipsia).
-Kuhisi njaa na kula mara kwa mara (polyphagia).
-Kuchoka haraka
-Kupungua uzito
-Vipele mwilini (diabetic dermadromes).
-Kutoa harufu ya acetone inayofanana na harufu ya pombe.
-kuhisi maumivu ya tumbo na kupoteza fahamu
-Na wagonjwa wa kisukari pia huwa katika hatari ya kupata maambukizi katika kibofu cha mkojo, ngozi na kwa wanawake sehemu za siri.
Kutokana na elimu hii nutrients inakuletea product ama supplements hivi ni ( VIRUTUBISHO LISHE) Ambavo vina linda na kutibu magonjwa Sugu ya kurithi na kuambukiza kwanjia ya MATUNDA, MBOGA ZA MAJANI, MIMEA, HADI MIZIZI ( miti shamba) virutubisho hivi humlinda mwanadam na kumponesha dhidi ya maradhi mbalimbali
KUPATA BIDHAA ZETU PIA USHAURI TUTAFUTE KWA NO 0656109275
PIA USISAHAU KU LIKE PAGE NA SHARE UKURASA HUU +255656109275

16/09/2019

*********** M U H I M U **********
Ndugu mpendwa leo ningependa tufahamishane kuhusu vitu viwili muhimu
1- UYOGA
2- ALOE VERA
* Hivi ni virutubisho muhimu kwa mwili wa binadam na vina faida kubwa maana ni dawa nzuri sana
• UYOGA ni MMEA du chakula kizuri sana na kina umuhimu mzuri kwa mwil wa bina damu japokua wengi wetu tunaona k**a ni zao tuu la kawaida pia hujiotea hovyo
Uyoga ni chakula ambacho ninakupa nguvu afya pia hutibu mtu mwenye matatizo mfano TUMBO, KANSA, VIDONDA VYA TUMBO, SUKARI.
√ Kuna aina nyingi sana za uyoga ila kulingana na shirika la afya dunian na nchini TFDH tuna shauriwa kula uyoga k**a mboga au chakula kwa kila siku maaa hupunguza sumu kwa kasi kubwa sana mwilini maaa husaidia kazi zinazo fanywa na INNI
• ALOE VERA huu nao ni mmea mwengine ambao unafaida kubwa na hua wengine tunautumia kwakua tuna shida tunashindwa kufaham kwmba ujiwekee ratiba k**a chakula kwa kila siku
√ FAIDA ZA ALOE VERA
* Huu mmea unamatumizi ya ndani na nje ya mwili k**a kupaka na kula
* kwanza hutibu meno na kulinda fizi
* hutibu pia vidonda vya tumbo
* husafisha ngozi yenye upere, miwasho, harara, chunusi,. Na magonjwa mengi ya ngozi FENGAS

BIDHAA MAHILI KATIKA KUSAFISHA MFUMO WA CHAKULA NA KUTOA UCHAFU MWILINI. Aloe vera ni mmea asili unaoweza kukusaidia katika mambo yafuatayo
1. Kusafisha mfumo wa umeng'enyaji chakula
2. Kusaidia kupata choo vizuri
3. Kuboresha kinga ya mwili
4. Kuboresha afya ya ngozi
5.kutoa body toxins (sumu) ambazo hutokana na hewa, madawa, mioshi, vumbi, na baadhi ya vinywaji 6. Kusaidia katika kurekebisha homoni
7. Kuupa mwili nguvu
Kupata BIDHAA ilio changanywa na
UYOGA pamoja ALOE VERA ni nzuri na salama kwa mahitaji ya kiafya piga simu +255656109275 kwa maswali unaweza ku comment au ukawasiliana namim INBOX
Pia unaweza like ukurasa huu ili taarifa hii iwez kuwafikia watu wengi zadi. +255656109275
ASANTE.

13/09/2019

********** M U H I M U U ************
Hello! Boresha afya yako kwa kutumia bidhaa zisizokuwa na kimikali ni virutubisho lishe, ama MLO KAMILI uliochanganywa na MATUNDA, MBOGA ZA MAJANI, MIMEA mfano Uyoga na kusibitishwa na shilika la chakula dunian na nchini
• Pia tunatoa tiba za matatizo yafuatayo. *Uzazi kwa wanawake na wanaume. *Watu wenye unene uliopindukia *Bidhaa za ngozii kuondelea kuonekana kijana. *Matatizo ya mfumo wa mkojo kwa wanawake na wanaume(UTI/FIGO) *Tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee. *Miwasho ,fangasi suguu mapunye na upele. *Presha ,sukar ya kupandaa na kushuka . *Upungufu wa Kinga mwilini(ukimwi) *Tatizo la mifupa * Meno *Matatizo ya moyo WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA +255656109275
pia mpenz msomaji tafadhal usisahau kushare na ku like ukurasa huu ili umsaidie na rafiki ako aweze fahama, Pia na k**a una swali basi unaweza comment au ukatuma sms kwa inbox
Whatsap no +255656109275

11/09/2019

********* M U H I M U *******
= VIDONDA VYA TUMBO NINI?
Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba.
Vinavyosababisha vidonda vya tumbo ni vifuatavyo, +255656109275
Bacteria wanaoitwa Helicobacter Pylori (H.pylori)
Baadhi ya vyakula tunavyokula
Uvutaji wa sigara
Msongo wa mawazo na zengine nyingi
Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo ni
k**a zifuatazo,
∆ angalia vyakula, matunda, pia matunda tunayo tumia ni safi na salama
√ mara nyingi hua tuna kula vyakula na vinywaji ambazo vyenye kemikali (CHEMICAL)
• Tunapenda sana vyakula vya viwandani (vilivyo simikwa) piza, baga,
• Kwa majumbani tuwe makini na upishi hakikisha chakula kinaivya vizur, pia viungo unavyotumia viwe salam pia,
• Tuepuke kukaa na njaa kwa muda mrefu, hili nalo ni tatizo tumezoe kukaa na njaa sana kw muda mwingi huchangia tatizo la vidonda vya tumbo
Kiungulia
Tumbo kujaa gesi
Tumbo kuwaka moto
KIchefuchefu
Kutapika damu na zengine nyingi
K**a unasumbuliwa na vidonda vya tumbo au una dalili ambazo nimezitaja hapo tuwasiliane ili uweze kupata tiba yake na ushauri
Namba za simu :+255656109275
**pia tafadhal usisahau ku share ku like ukurasa huu wa nutrients k**a kuna maswali unaweza comment au sms kwa inbox.

11/09/2019

************* MU HI MUUU *************
LIFAHAMU TATIZO LA BAWASIRI/HEMORHOIDS (MUWASHO NA MAUMIVU KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA)
Ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehem ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine hutuleza au kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 22-50
AINA ZA BAWASIRI
A:BAWASIRI NDANI
Hii hutokea ndani katika mshipa wa haja kubwa wa ndani
Hutokea pale haja kubwa ikatishwapo na kurudi ndani wakati wa kujisaidia
B:BAWASIRI NJE
Hii hutokea eneo la nje la tundu la haja kubwa
na huambatana na maumivu makali au kuwasha sehem hii ya tundu la haja kubwa
Hivyo kupelekea mishipa ya damu kuvuja na kutengeza uvmbe katika tundu la haja kubwa au kuvuja damu katika eneo hilo la haja kubwa
CHANZO CHA TATIZO HILI
-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
-Kuharisha kwa mda mrefu
-Tatizo la kutopata choo laini au kujisaidia kinyesi kigumu
-Tatizo la umri mkubwa
-Uzito kupita kiasi
-Matumizi ya vyoo vya kukaa
-Kutopata mlo kamili.
DALILI ZA TATIZO HILI.
-Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
-Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
-Kujitokeza kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa
Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana
MADHARA
-Kupata upungufu wa damu
-Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa
-Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke -Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa ari ya kufanya kazi na kutojiamini katika hadhara ya watu
JINSI YA KUEPUKA
-Kutumia matunda na mboga za majani katika mlo
-Kunywa maji ya kutosha na yasiyo ya baridi sana kabla ya mlo na baada ya mlo
-Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu
-Epuka mapenzi ya nyuma ya maumbile
TIBA YAKE HOSPITALINI
Ugonjwa huu tiba yake ni kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa
Lakini tiba hii si nzuri sana kwani hupelekea kujirudia tena kwa uvimbe pale mgonjwa akosapo kinga tosha
Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa
TIBA LISHE MBADALA
Tiba ya ugonjwa huu imepatikana
Bidhaa hizi zinatoa sumu zote zilizopo katika mwili kuondoa vimelea vya ugonjwa huu
Pia huzuia utokaji wa damu na pia kuondoa uvimbe na miwasho yote ijitokezayo katika tundu hili la haja kubwa
Lakini pia bidhaa hizi zinawafaa pia watu wasio na tatizo hili kwa kuondoa sumu na vimelea vya maradhi mbali mbali.
Pia huupa mwili kinga ya kutosha na kuongeza virutubisho katika mwili wa mtumiaji.
KARIBU SASA UTUMIE BIDHAA HIZI ILI KUKUPA KINGA YA MWILI, KUKUONGEZEA VIRUTUBISHO kwa mawasiliano zaidi piga no: +255656109275 tafadhal usisaha ku share ukurasa huu pia ku like na maswal yote unaweza comment au ukatuma sms kwa inbox

11/09/2019

BIDHAA MAHILI KATIKA KUSAFISHA MFUMO WA CHAKULA NA KUTOA UCHAFU MWILINI. Aloe vera ni mmea asili unaoweza kukusaidia katika mambo yafuatayo
1. Kusafisha mfumo wa umeng'enyaji chakula
2. Kusaidia kupata choo vizuri
3. Kuboresha kinga ya mwili
4. Kuboresha afya ya ngozi
5.kutoa body toxins (sumu) ambazo hutokana na hewa, madawa, mioshi, vumbi, na baadhi ya vinywaji 6. Kusaidia katika kurekebisha homoni
7. Kuupa mwili nguvu
Kupata aloe vera iliyosalama na nzuri kiafya piga simu : +255656109275 tafadhali usisahau kushare na ku like ukurasa huu, na kwa maswali zaidi unaweza comment au kwa sms inbox

06/09/2019

***********MUHIMU*************Je mtoto wako ;Anagoma kula?
*Hakui vizur k**a inavyotakiwa?
*Ana nywele laini!
*unahitaji awe na uwelewa mzuri darasani
*Anauguaa muda wotee, ana ukosefu wa kinga mwilini
*Ana shida ya kuota meno?
*Ana shida ya kutokuona vizuri?
Tumia virutubisho lishe, vyenye vyakula mchanganyiko, visivo kua na KEMIKALI ya aina yeyote mboga za majani, uyoga, matunda, miziz maalum kwa ukuaji mzuri wa mwanao na vyenye madini mchanganyiko mfano calcium na viambata vingine muhimu vinavyosaidia ukuaji wa mtoto na afya bora.
Wasiliana na mimi Whatsap call kw namba hizo, pia muhimu zaidi isisahau KU SHARE PAGE, KU LIKE
Piga) +255656109275
tarifa hizi mjuze na jirani ako

06/09/2019

********MUHIMU*********
TUNATOA HUDUMA YA USHAURI PAMOJA NA TIBA KWA MAGONJWA TOFAUTI K**A YAFUATAYO
Piga namba +255656109275
1.Kupungukiwa au kuishiwa kwa nguvu za kiume
2.Kutibu na kuondoa tatizo la usahaulifu na kupoza maungo ya mwili
3.K**a umeathiriwa na tatizo La kujichua yaani punyeto (musterbation)
4 ugonjwa wa tezi dume
5.Vidonda vya tumbo (stomach ulcers)
6.Ngiri (ngiri ya ndani na nje )
7.Kisukari
8.kupanda na kushuka kwa presha
9.Kuondoa tatizo la bawasiri(kinyama kuota kwenye njia ya haja kubwa)
10.Fangasi za aina zote na bacteria(kuondoa harufu mbaya sehemu za siri na U.T.I ,miguuni,na makwapani)
11.Mzio (Allergy)
12.matatizo ya mifupa na maungio k**a kiuno,magoti na mgongo
13.Kushindwa kutungisha mimba (Mbegu hazijarutubishwa)
14 .Matatizo ya hedhi kwa wanawake (Maumivu wakati wa hedhi ,hedhi zisizokua na mpangilio, Kutopata hedhi, Kupata hedhi mara mbili ndani ya mwezi)
15.homoni ku balance
16.matatizo ya uvimbe kwenye kizazi(fibroid)
17.Matatizo ya kinywa na meno (Meno kutoboka, kuoza,kuondoa harufu mbaya mdomoni ,meno kuwa mekundu ,fizi kuvimba/kutoka damu)
18.KUONDOA MAFUTA MABAYA MWILINI (CHOLESTEROL) KITAMBI ,Na MANYAMA UZEMBE
19. Kusafisha mirija ya uzazi Na kuondoa sumu g
20.kuzuia makali ya HIV na kansa
Kwa mahitaji ya tiba,ushauri nk,niachie ujumbe mfupi WhatsApp/Call na pia SMS +255656109275
Tunapatikana dar es salaam
Share ujumbe huu kwa ndugu na marafiki wapate ushauri?
AHSANTE

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FOOD Nutrients posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category