Success Coach

Success Coach "Where talents and dreams are developed into money".

Tunatoa ushauri katika falsafa ya sayansi ya mafanikio binafsi katika fani za fedha, biashara, mahusiano na afya.

"Every time is a right time if you do the right thing to the right person with the right cause of the right environment"...
07/08/2020

"Every time is a right time if you do the right thing to the right person with the right cause of the right environment"
ARISTOTLE DE MARTINEZ

02/08/2020

TOFAUTI YA MTU MWENYE FIKRA ZA KITAJIRI NA MTU MWENYE FIKRA ZA KIMASKINI
1. Maskini huamini kwamba ni maskini kwa sababu ya ukoloni au unyonyaji unaofanywa na matajiri au nchi za kibepari LAKINI Tajiri huchukua 💯% ya wajibu wa kwa nini hakufanikiwa katika maisha
2. Maskini wengi huamini kwamba fedha ni mzizi na chanzo cha maovu katika jamii LAKINI Matajiri huamini kuwa ukosefu wa fedha ndiyo kiini cha maovu katika jamii
3. Maskini huamini kwamba kuna mambo ambayo hayawezekani na yanayowezekana, LAKINI Matajiri huamini kwamba mambo yote yanawezekana
4. Maskini hutumia mitandao ya kijamii kupoteza fedha LAKINI Matajiri hutumia mitandao ya kijamii kutengeneza fedha kwa kutangaza biashara na kujibana
5. Maskini hufuja na kutumia muda wake wa 80% kufanya mambo ya kijinga na 20% kufanya mambo muhimu, LAKINI Tajiri hutumia 80% ya muda wake kufanya mambo ya maana na 20% ya muda wake kufanya mambo ya kijamii
6. Maskini huamini kwamba akisoma sana elimu ya darasani atakuwa na maisha mazuri kitu ambacho si kweli, LAKINI Tajiri huamini kwamba akiwekeza muda kusoma vitabu vya watu waliofanikiwa na yeye pia atafanikiwa
7. Maskini wengi huamini kwamba pesa ndiyo kila kitu katika maisha, hudharau mawazo, LAKINI Tajiri huamini kwamba wazo bora ndio huleta pesa na kumfanikisha mtu kimaisha.
9. Watu maskini huamini kwamba elimu ni ufunguo wa maisha na msingi wa maendeleo, elimu ni nuru, mwanga nk. LAKINI watu matajiri huamini kwamba elimu ni nguvu tuli ( potential power) elimu inakuwa ufunguo wa maendeleo binafsi pale mtu anapokuwa anajua kuitumia ili kupata anachokitaka katika maisha yake.
9. Mtu mwenye fikra za kimaskini huamini katika kuajiriwa k**a ndiyo suluhisho la kuweza kupata maendeleo binafsi, LAKINI Mtu mwenye fikra za kitajiri huamini kwenye kujiajiri kwanza kwa njia hiyo ataweza kuajiri na wengine na hivyo kupunguza tatizo la ajira katika jamii.
10. Watu maskini mara nyingi huamini kwamba watafanikiwa kwa kupitia njia za mkato k**a vile rushwa, k**ari na wizi LAKINI.....

Address

0679 694 337 0789 744 802
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Success Coach posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share