Fanikiwa Kidigitali

Fanikiwa Kidigitali Tunawasaidia wafanya biashara kupata wateja mtandaoni.

08/06/2023
04/06/2023

Katika matangazo yako yajayo k**a unatumia Facebook hakikisha unafahamu mambo haya matano 5

1.HUWEZI TANGAZA BILA FACEBOOK PAGE
K**a utarusha tangazo Facebook cha kwanza utahitaji uwe na page itakayokuwezesha kufanya hivyo.

2.USITANGAZE KWA FACEBOOK MPYA
Facebook ikiwa mpya inatakiwa ikae walau wiki 3 au 4 ndo itumike kwenye matangazo chini ya hapo itafungiwa.

3.JIFUNZE SHERIA ZA FACEBOOK NA INSTAGRAM ADS
Ni muhimu kuzifahamu sheria za matangazo itasaidia kujiepusha na kufanya makosa yatakayo pelekea akaunti kufungiwa au matangazo kukataliwa.

4.AKANTI YAKO INAWEZA FUNGIWA BILA MAKOSA.
Akaunti ikifungiwa usichanganyikiwe ni kitu cha kawaida kinamtokea kila mtu kikubwa tafuta mtaalamu akusaidie kuirudisha

5.VIDEO, PICHA NA CAPTION NI VITU VYA MSINGI KWENYE TANGAZO

Unahitaji msaada kwenye Facebook na Instagram ads?

Tuma ujumbe dm au whatsapp 0685091472.





04/06/2023

Kwa wewe unaetumia Facebook kurusha matangazo Mtandaoni nimekupa mambo 4 muhimu ya kuzingatia hakikisha unatazama video yote kisha acha comment yako hapa chini.

Follow kujifunza zaidi kuhusu matangazo mtandaoni.





04/06/2023

Hakuna kitu hua kinakera ukirusha tangazo alafu wanakuja watu wanatangaza biashara zao kwenye comment ya tangazo lako.

Kitu unachofikiria ni kufuta comment

Shida ya kufuta comment inapelekea Insta na Facebook wapate wasi wasi kwanini unafuta comment labda unachotangaza sio salama kwa watu hivyo inapelekea waifungie account yako na mwisho wa siku unashindwa kurusha matangazo.

Ziache comment hazina madhara yoyote wengi wanaofanya hivyo hua ni ishara ya kutojiamini au kutokua na elimu.

K**a account yako imefungiwa kutangaza nione haraka dm au whatsapp 0685091472.

04/06/2023

Watu wengi hua hawakumbuki password za akaunti zao endapo pale anapopata changamoto simu ikapotea au kununua simu nyingine wanashindwa kuingia kwenye akaunti zao za biashara na biashara inakwama.

K**a bado hujapata shida hii nenda sasa hivi kwenye akaunti yako ya Facebook au Instagram weka namba au email ambayo ipo active ili ikitokea unahitaji kureset password iwe rahisi.

Bila hivyo wakati mwingine utashindwa kuipata akaunti yako na hautaamini.

K**a una shida hii na unahitaji msaada
Tuma ujumbe Dm/ Whatsapp 0685091472.

04/06/2023

K**a unafanya biashara mtandaoni na unahitaji wateja kufanya matangazo ni kitu cha lazima sio ombi.

Njia ya haraka itakayokupa wateja wengi ni kufanya matangazo ya kulipia (sponsored ads) kwa sababu huwafikia watu wengi kwa muda mfupi na inakua rahisi kujua biashara yako na kununua unachouza

K**a umeshindwa kutangaza biashara yako sababu akaunti yako Imefungiwa FB na INSTA tutaifungua akaunti yako na utaendelea kufanya matangazo k**a kawaida.

Piga simu au Whatsap 0685091472

Umekua ukifanya matangazo ya sponsor mtandaoni haupati wateja?Umeanza biashara mtandaoni ila haujui ufanye nini kupata w...
03/06/2023

Umekua ukifanya matangazo ya sponsor mtandaoni haupati wateja?

Umeanza biashara mtandaoni ila haujui ufanye nini kupata wateja wengi mtandaoni?

Akaunti yako imefungiwa kutangaza?

Haya yote ni mambo yanawakumba wafanya biashara wengi mtandaoni.

K**a una miongoni mwa shida hizo tuma ujumbe Dm / whatsapp 0685091472 tuweze kukusaidia.

Usikubali biashara yako isimame.

Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua ni kwamba Instagram na Facebook hukata hela kutokana na idadi ya watu wanaofikiwa na ...
20/03/2023

Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua ni kwamba Instagram na Facebook hukata hela kutokana na idadi ya watu wanaofikiwa na tangazo lako.

Kigezo kikubwa wanachokitumia hawa jamaa ni PAYMENT THRESHOLD.

PAYMENT THRESHOLD ni kikomo wanachoweka wao kukata hela yako.

Mfano akaunti inapoanza kufanya matangazo hua wanaweka PAYMENT THRESHOLD YA 2$ hivyo kila tangazo likifika 2$ ndo wanakata hela kwenye card yako.

Sasa kadri wanavyokata THRESHOLD inapanda. Kuna muda inafika inakua kubwa sana kutokana na jinsi unavyolipia matangazo.

Ndo maana kuna muda unaweza kua hela hauna kwenye card na ukafanya tangazo likaenda ukalipa baadae deni.

Wengine huita kutangaza kwa mkopoπŸ˜„πŸ˜„

Jinsi ya kujua payment threshold fanya hivi
1. Ingia Instagram
2. Bonyeza Settings
3. Kisha business
4. Ad payment
5. shuka chini utaona payment threshold

MADHARA YAKE
πŸ‘‰ Ikiwa kubwa sana itakupa deni kubwa ambalo hutoweza kulipa itabidi utafute wataalamu tukufutie deni.
πŸ‘‰Inaweza fanya akaunti ikawa HAIPO ACTIVE yani tangazo lipo hewani usione matokeo kabisa.

Kuepuka shida hizo unaweza ku edit threshold ukaweka kiasi kidogo mfano 2$ au 5$ na mara zote unapo tangaza hakikisha card ina hela ya kutosha.

Una tatizo kwenye akaunti yako?
Piga simu 0685091472

Follow for more tips


Facebook inafungiwa kwa sababu kuu 31. KUVUNJA SHERIA ZA MATANGAZO (Policy Violation)2. SABABU ZA KIUSALAMA (Security Re...
18/03/2023

Facebook inafungiwa kwa sababu kuu 3

1. KUVUNJA SHERIA ZA MATANGAZO (Policy Violation)
2. SABABU ZA KIUSALAMA (Security Reasons)
3. TABIA YA MTUMIAJI (Unusual activity)

Sasa baada ya kuwa imefungiwa kutangaza hua wanatoa siku 30 kutuma maombi iweze kurudishwa, endapo utachelewa kufanya hivyo yaweza kua sababu ya kufungiwa kabisa.

Sasa katika kutuma maombi kitu cha kwanza hua wanataka utume picha ya kitambulisho chako.

Hapa wengi hukosea ndio maana account hua hairudi inafungiwa permanent.

Kabla hujatuma kitambulisho Facebook kuna vitu unatakiwa ufanye kwaza.
πŸ‘‰ Nenda kwenye Facebook account yako hakikisha jina na taarifa zako za kuzaliwa zinafanana na kitambulisho k**a havifanani edit kwanza.
πŸ‘‰ Thibitisha utambulisho wako kwanza Facebook (Identity Comfirmation). Subiri mpaka wajibu.
πŸ‘‰ Baada ya hapo nenda kwenye ads manager tuma kitambulisho na maombi.

Ukifanya hatua hizo kwa ufasaha FACEBOOK yako inarudi na utaendelea kufanya matangazo k**a kawaida.

Unashida kwenye akaunti yako ya matangazo?
Piga simu 0685091472.

Follow for more


Tatizo kubwa lililopo kwa wafanya biashara wengi ni kufanya sponsored ads lakini mwisho wa siku hawapati mauzo au matoke...
18/03/2023

Tatizo kubwa lililopo kwa wafanya biashara wengi ni kufanya sponsored ads lakini mwisho wa siku hawapati mauzo au matokeo kabisa.

Kupitia post hii ntakuonyesha sababu kadhaa zinakukosesha mauzo kupitia sponsored ads unayofanya.

1.KUCHAGUA LENGO LISILO SAHIHI
Kufanya sponsored ad FACEBOOK au INSTAGRAM bila kujua lengo gani utumie kwenye tangazo lako hilo ni tatizo kubwa.

Ujue kila lengo la tangazo lina kazi yake kwenye sponsored ads hivyo unafeli kuchagua lengo.

Mfano unataka mauzo ila unatumia Profile visit au Unachagua lengo la brand awareness kwa upande wa ads manager inakua ngumu kupata mauzo.

2.TANGAZO LIMEKAA KUUZA ZAIDI.
Kisaikolojia binadamu hapendi kuuziwa hivyo hivyo hutokea hata mtandaoni.
Watu wengi hukwepa matangazo yanayo shawishi kununua moja kwa moja hivyo unapofanya tangazo lazima uwe na strategy.

Hakikisha tangazo lako linatoa thamani fulani kwa walengwa.

3. KUKOSEA WALENGWA WAKO.
Unapokosea kutarget walengwa wako inapelekea kukosa mauzo.
Kumbuka sio kila mtu ni mteja wako unatakiwa ujue walengwa wako ni nani hivyo itasaidia tangazo lako kuwafikia walengwa watakao nunua.

Hakikisha unalenga walengwa wako na sio kila mtu.

4. HAUTEST MATANGAZO YAKO
Tangazo linaweza kuwa la picha (graphics) au video hivyo ni vizuri kufanya majaribio ujue ni tangazo lipi linaleta matokeo. Bila kufanya majaribio inapelekea kupoteza pesa na mauzo kwa ujumla.

Faida ya kufanya testing inakua rahisi kutumia hela yako kwenye tangazo litakalo leta matokeo.

5. HAUNA FOLLOW UP
Kuna message nyingi watu wanatuma DM au WHATSAPP kutokea kwenye tangazo lako wakiuliza kuhusu bidhaa zako au huduma ila haujibu wala kufuatilia.

Kumbe ungewajibu wangenunua unacho uza sasa hivi au siku zijazo.

Ni makosa gani katika haya umekua ukiyafanya? comment hapa

Una shida upande wa sponsored ads? piga simu 0685 091 472.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 09:00 - 20:00

Telephone

+255685091472

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fanikiwa Kidigitali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share