JeL Safety

JeL Safety Direct txt whatsup via https://wa.me/255754755995

24/04/2020
14/04/2020

BiG Rescue...

Sio peke angu lakini wengi wetu ndo sasa tunafahamu nini maana ya neno la kiswahili barakoa.    Kwa kawaida hizi zipo za...
11/04/2020

Sio peke angu lakini wengi wetu ndo sasa tunafahamu nini maana ya neno la kiswahili barakoa.
Kwa kawaida hizi zipo za aina tatu
1. Disposable/Kutumika mara 1
2. Reusable/ Kutumika zaidi ya mara 1
3. Gas tight Power Air/ Zisizopitisha hewa

Tunaweza tambua ipi inatumika wapi kufuatana na alama za ubora ya barakoa husika. Alama maarufi ni ile ya umoja wa nchi za ulaya itambulikayo k**a EN standards.
Barakoa (Face Mask) alama yake ya ubora ni EN149:2001+A1:2009.
Hizi zinafanya kazi kulingana na ukumbwa matundu yaliyonayo(particulate performance level)
kwa mfano:
FFP1 - NPF 4 Hizi mara nyingi huzuia k**a manyoya ya wanyama, kutu, vumbi, chembe chembe za vyuma n.k

FFP2 - NPF12 Hizi huzuia vumbi jepesi zaidi k**a la simenti, rangi, vanish, matone ya spray, vumbi la chuma, moshi, viuatilifu, mafuta, bacteria n.k

FFP3 - NPF 50 Hizi ni bora zaidi zitumikazo kuzuia vumbi au matone hatarishi ama yenye sumu. Mfano viuatilifu vya wadudu, wafamasia, kemikali n.k

SanitizersSurgical Masks
10/04/2020

Sanitizers
Surgical Masks

Safety Boot
10/04/2020

Safety Boot


Address

Igesa Road
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JeL Safety posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share