ALAF Limited Tanzania

ALAF Limited Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ALAF Limited Tanzania, Business service, Buguruni, Dar es Salaam.

Tumia Mabati kutoka ALAF Limited kujenga shule kwavurahisi na Ubora unaodumu Vizazi na vizazi.Fika kiwandani kwetu makao...
19/08/2022

Tumia Mabati kutoka ALAF Limited kujenga shule kwavurahisi na Ubora unaodumu Vizazi na vizazi.

Fika kiwandani kwetu makao makuu Dar es salaam kuweka oda yako.
Tupigie simu: +255 782 498 793

Tumia Mabati ya VERSATILE na ROMANTILE kutoka ALAF Limited kuifanya nyumba yako iwe na mwonekano wa kuvutia na Ubora una...
22/07/2022

Tumia Mabati ya VERSATILE na ROMANTILE kutoka ALAF Limited kuifanya nyumba yako iwe na mwonekano wa kuvutia na Ubora unaodumu Vizazi na vizazi.

Fika kiwandani kwetu makao makuu Dar es salaam kuweka oda yako.
Tupigie simu: +255 782 498 793

Unataka kuweka bati ambalo mjukuu wako atalikuta limedumu k**a lilivyoezekwa? Chagua mabati ya Versatile. Ukiweka umewek...
16/07/2022

Unataka kuweka bati ambalo mjukuu wako atalikuta limedumu k**a lilivyoezekwa? Chagua mabati ya Versatile. Ukiweka umeweka kweli! Fanya manunuzi leo ujipatie punguzo la hadi 10%. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Tupigie simu: 0782498 793

Mabati yenye kudumu kwa muda mrefu bila kupauka wala kupata kutu ni ALAF pekee.Tuna Rangi tofauti tofauti na Aina tofaut...
14/07/2022

Mabati yenye kudumu kwa muda mrefu bila kupauka wala kupata kutu ni ALAF pekee.
Tuna Rangi tofauti tofauti na Aina tofauti tofauti ikiwemo

Fika kiwandani kwetu kuweka oda yako.
Tupigie simu: 0782 498 793
Chart nasi kwa WHATSAPP +255 782 498 793

ALAF Limited, Makao makuu Dar es salaam.

12/07/2022

Iwe mvua, iwe Jua ukiwa na Bati la Versatile haijalishi.
Nunua Mabati yetu kwa bei poa kwa Ofa ya msimu wa Saba Saba.

Tupigie simu, 0782 498 793

Business service

Address

Buguruni
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ALAF Limited Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share