Rida's STORE

Rida's STORE New product available

24/08/2026

Mashine ya kupunguza na kuondoa nyama zembe zipo store karibuni

Zinakuja na remote control kwa matumizi rahisi

Resistance bands 2 kwaajili ya mazoezi ya mkono na mabega

Ina modes na speed mbalimbali za vibration

Inasaidia kuboresha mzunguko wa damu,kupunguza uchovu wa mwili na mawazo

Kuondoa nyama zembe na kutengeneza shape nzuri ya mwili

Uzito ni mpaka 150kg

Delivery ipo na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/whatsapp 0742149184

L

23/08/2026

Study table 45,000/= tu

Ni portable unaweza kutumia popote, chumbani sebuleni au garden

Ni nzuri sana na inavutia

Inarahisisha kazi

Delivery tunafanya na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/Whatsapp 0742149284

29/07/2026

Toothpaste holder available store

Delivery ipo mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/whatsapp 0742149184

29/07/2026

Unaweka wapi asali ndugu mteja? Karibu store ujipatie honey pot nzuri ya kuvutia kwa 25,000/= tu
Haiharibiki wala haivujishi

Material safi kabisa

Inavutia pia mezani

Deliver ipo na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/Whatsapp 0742149184

29/07/2026

Cherehani nzuri ya mkono kwa 45,000/= tu

Inatumia betri au kucharge

Nunua sasa weka ndani, lolote linaweza kutokea

Delivery ipo na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/Whatsapp 0742149184

29/07/2026

Cherehani ndogo ya mkono zipo store kwa 25,000/= tu

Zinashona nguo za material tofauti k**a shifon, cotton, mpira na jeans

Nunua leo kwa matumizi hata ya baadae

Delivery ipo na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/Whatsapp 0742149184

15/07/2026

* BP MONITOR*
Pima Presha kwa Hatua 5 Rahisi
1️⃣ Kaa kwa utulivu kwa dakika 5 kabla ya kupima.
2️⃣ Vaa cuff kwenye mkono wa juu vizuri.
3️⃣ Weka mkono sawa na kiwango cha moyo. ❤️
4️⃣ Bonyeza START na usiongee wala kusogea.
5️⃣ Soma matokeo ya SYS, DIA & PUL kwenye skrini.
•SYS – Shinikizo la juu
•DIA – Shinikizo la chini
•PUL – Mapigo ya moyo kwa dakika

*Bei*:35,000/= tu

Delivery ipo na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/Whatsapp #0742149184

15/07/2026

* drying heater*
Drying Heater hii ni suluhisho la kisasa kwa nyumba yako 😍
✔️ Inakausha nguo haraka (dakika chache hadi saa)
✔️ Inatunza nguo – hakuna kuharibika kwa kitambaa
✔️ Compact & rahisi kuhifadhi (foldable)
✔️ Hakuna installation – unatumia moja kwa moja

*Bei*:50,000/=

Delivery ipo na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/whatsapp 0742149184

15/07/2026

Flame Aroma Diffuser* 35,000/= tu

Color:White

Unaweka marashi uyapendayo

Delivery ipo na mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Call/Whatsapp 0742149184

Address

Sinza
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rida's STORE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rida's STORE:

Shortcuts

Share