04/12/2022
Unahitaji kufungiwa huduma ya M Gas?, Ni rahisi;
1. Chukua simu yako na piga 0713748763, jitambulishe. Utaambiwa utume taarifa zako.
2. Utasajiliwa kutokana na taarifa ulizotuma na fundi atakaekuja kwako atapangwa.
3. Utaletewa jiko/mtungi bila gharama za ziada.
4. Fundi atafunga jiko na mtungi sehemu sahihi na kuhakikisha mtandao na usalama upo vizuri.
5. Fundi/mteja watafanya malipo kwa kutumia Tigo Pesa (Hakuna pesa yoyote itakayotoka mkono kwa mkono (cash))
6. Furahia mapishi yako