Lameck Stationery Office

Lameck Stationery Office ๐‹๐š๐ฆ๐ž๐œ๐ค | ๐’๐ญ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง๐ž๐ซ๐ฒ ๐’๐ก๐จp.
๐–๐š๐ฎ๐ณ๐š๐ฃ๐ข ๐–๐š ๐•๐ข๐Ÿ๐š๐š ๐•๐ฒ๐š
๐Œ๐š๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฅ๐ž๐ง๐ข ๐๐š ๐Œ๐š๐จ๐Ÿ๐ข๐œ๐ž๐ง๐ข
๐‰๐ฎ๐ฆ๐ฅ๐š ๐๐š ๐‘๐ž๐ฃ๐š๐ซ๐ž๐ฃ๐š
๐…rom ๐Œonday ๐“o ๐’aturday
Tembelea menu kuu ya huduma zetu.

26/08/2026
26/08/2026

Delivery Bukoba Tanzania

Karibu sana wadau wangu, mje mninuungushe. Nafanya mauzo ya vifaa bora vya ofisi na mashuleni kwa bei ya jumla. K**a unahitaji vifaa vya ofisi au shule, nitafurahi kusaidia. Piga simu au wasiliana na huduma ya delivery hapa

Bukoba! Mawasiliano zaidi:
normal 0764-336-388,
WhatsApp 0752 774 288.

Ofisini ipo Kariakoo, mtaa wa Lindi, msikitini gerezani. Karibu sana mteja, tukuhudumie kwa moyo safi.

SHEREHEKEA MAISHA NA KAZI YAKO!โ€‹Tunamaliza mwezi kwa tabasamu, furaha na shukrani tele. Lameck Stationery Office tunapen...
30/05/2026

SHEREHEKEA MAISHA NA KAZI YAKO!
โ€‹Tunamaliza mwezi kwa tabasamu, furaha na shukrani tele. Lameck Stationery Office tunapenda kuchukua
nafasi hii kuwapongeza na kuwashukuru
wateja wetu wote kwa kuendelea
kutuamini nakufanya kazi nasi siku zote.

โ€‹Sisi ni suluhisho lako la uhakika kwa mahitaji yako yote ya vifaa vya ofisi na sherehe.
Tunakukaribisha dukani kwetu ujipatie
bidhaa bora kwa bei ya jumla na rejareja.

โ€‹Huduma zetu kuu:
โ€‹Kadi za mialiko na michango ya sherehe zote
โ€‹Calculator imara na bora za kisayansi
โ€‹Vifaa vyote vya ofisi na shule vya jumla

โ€‹Tupate wapi:
Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Lindi, Dar es Salaam. Pia tunatuma mikoani kote Tanzania kwa uaminifu mkubwa.
โ€‹Wasiliana nasi leo:
Simu: 0752 774 288
WhatsApp: 0764 336 388
Follow

๐Ÿ“š Kamusi Zinapatikana!โœ… Oxford Advanced Learner's Dictionary โ€“ Tsh 30,000โœ… Oxford Student's Dictionary โ€“ Tsh 15,000โœ… Kam...
24/05/2026

๐Ÿ“š Kamusi Zinapatikana!
โœ… Oxford Advanced Learner's Dictionary โ€“ Tsh 30,000
โœ… Oxford Student's Dictionary โ€“ Tsh 15,000
โœ… Kamusi ya Kiswahili Sanifu โ€“ Tsh 15,000
๐Ÿ’ฅ Bei ni jumla tu!

๐Ÿ“ Kariakoo โ€“ Mtaa wa Lindi, Msikiti Gerezani
๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 0764 336 388
๐Ÿ“ž Simu: 0752 774 288

๐ŸŒธ HAPPY MOTHERโ€™S DAY ๐ŸŒธLeo tunasimama kwa heshima kubwa kuwapongeza wanawake wote wenye moyo wa upendo, uvumilivu na kuji...
10/05/2026

๐ŸŒธ HAPPY MOTHERโ€™S DAY ๐ŸŒธ

Leo tunasimama kwa heshima kubwa kuwapongeza wanawake wote wenye moyo wa upendo, uvumilivu na kujitoa kila siku kwa ajili ya familia zao. โค๏ธ

Mama ni zawadi ya pekee kutoka kwa Mungu. Ni mtu anayepambana kimya kimya kuhakikisha watoto na familia wanaishi kwa furaha, amani na mafanikio. Upendo wa mama haupimiki, hauchoki na haujawahi kuwa wa kawaida. ๐ŸŒท

Katika siku hii maalum, tunawatakia akina mama wote afya njema, furaha ya kweli, maisha marefu na baraka zisizo na mwisho. Asanteni kwa malezi, maombi, ushauri na upendo mnaotupatia kila siku. Dunia ingekuwa tofauti sana bila uwepo wenu. ๐Ÿ’

Kwa niaba ya Lameck Stationery, tunasema:

โœจ ASANTE MAMA โœจ
Kwa kila sadaka, kila dua, kila machozi ya furaha na kila tabasamu mlilotupa kwenye maisha yetu.

Mungu awabariki sana na awaongezee nguvu, amani na furaha tele. ๐Ÿ™โค๏ธ



STATIONERYS OFFICE SUPPLIES Tunauza bidhaa bora beirafiki na tunatuma mzigo mikoa yote Tz' Hapa, unapata unavyotarajia! ...
05/05/2026

STATIONERYS OFFICE SUPPLIES

Tunauza bidhaa bora bei
rafiki na tunatuma mzigo mikoa yote Tz' Hapa, unapata unavyotarajia!

Kwa nini utuchague?
โœ… Huduma bora kwa wateja
โœ…๏ธ tunakutunza k**a familia
โœ… Bei rafiki kwa kila mtu
โœ… Uaminifu ndio msing wetu
โœ…๏ธ kila ununuzi ni uhakika

Mahali tulipo
๐Ÿ“ Dar es Salaam โ€“ Kariakoo, Mtaa wa Lindi/Msikitini, Gerezani

Wasiliana nasi Office
๐Ÿ“ž 0764 336 388
๐Ÿ“ž 0752 774 288 (Normal Call)
๐Ÿ“ทInstagram follow

23/04/2026

Mawasiliano zaidi 0764-336-388 Whatsapp
0752 774 288
Normal Call
Karibu sana

๐Ÿ“ข Karibu Lameck Stationery Office!Unatafuta vifaa bora vya ofisini, shuleni au biashara yako? Usikose! โœจNjoo ujionee bid...
23/04/2026

๐Ÿ“ข Karibu Lameck Stationery Office!
Unatafuta vifaa bora vya ofisini, shuleni au biashara yako? Usikose! โœจ

Njoo ujionee bidhaa zetu zenye ubora wa hali ya juu kwa bei rafiki kabisa ๐Ÿ’ผ๐Ÿ“š

๐Ÿ‘‰ Kalamu, madaftari, printer papers, files na vitu vingi zaidi vinakungoja!
๐Ÿ‘‰ Huduma nzuri na uhakika wa ubora
Tembelea account yetu sasa uone kilichopo โ€” hautajuta! ๐Ÿ”ฅ

โœ…๏ธLameck Stationery Office, tunakuhudumia kwa ubora ๐Ÿ’ฏ

Tunauza bidhaa bora bei
rafiki na tunatuma mzigo mikoa yote Tz' Hapa, unapata unavyotarajia!

Kwa nini utuchague?
โœ… Huduma bora kwa wateja
โœ…๏ธ tunakutunza k**a familia
โœ… Bei rafiki kwa kila mtu
โœ… Uaminifu ndio msing wetu
โœ…๏ธ kila ununuzi ni uhakika

Mahali tulipo
๐Ÿ“ Dar es Salaam โ€“ Kariakoo, Mtaa wa Lindi/Msikitini, Gerezani

*Wasiliana nasi Office*
๐Ÿ“ž 0764 336 388
๐Ÿ“ž 0752 774 288 (Normal Call)
๐Ÿ“ทInstagram follow

Address

79 Lindi Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lameck Stationery Office posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share