Fursa Kwa Vijana

Fursa Kwa Vijana Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fursa Kwa Vijana, Business service, Mlimani City, Dar es Salaam.

VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo hufahamika kwa kiingereza k**a Peptic Ulcer ni hali ambayo kuna kidonda kwenye tabaka...
23/05/2023

VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo hufahamika kwa kiingereza k**a Peptic Ulcer ni hali ambayo kuna kidonda kwenye tabaka la tumbo au sehemu ya kwanza ya utumbo Mdogo
DALILI KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO
1.hisia ya kuungua katika sehemu ya juu ya tumbo baada ya kula.
2.kiungulia,
3. kubeua,
4. tumbo kujaa ,
5.kujisaidia choo kigumu
6.Tumbo kuwaka moto

FANYA YAFATAYO KUPUNGUZA KASI YA UKUAJI WA VIDONDA VYA TUMBO HUKU UKIJIPANGA KUANZA MATIBABU
🗨 kunywa maji safi, kwa wingi sana jitahidi lita 3 hadi 4 kwa siku .

🗨 kula chakula kwa muda , jitahidi kuzingatia kikamilifu ratiba ya kula na kula chakula kwa utaratibu mzuri na mpangilio unaofaa .* nitakuelekeza huo mpangilio
📌mboga za majani KWa wingi haswa spinach au chines au nyinginezo zinautajili MKUBWA wa vitamin A husaidia kuongeza uzalishaji MKUBWA wa ute ute ambao hulinda kuta za Tumbo dhidi ya mashambulizi

🗨 unapoamka asubuhi kula vijiko viwili vya asali kila siku . Asali inamadini yaitwayo flavonoids ambayo husaidia kupunguza uzalishaji wa acid nyingi tumboni

🗨 supu au juice ya carot + kabeji . Hii tumia mara tatu kwa siku unakunywa usiku

🗨kunywa supu ya bamia

🗨 vyakula visivyobolewa , ila zingatia visiwe vinaviungo sana , mchemsho hivi

🗨 epuka stress na maudhi , hasira zisizokuwa na lazima , epuka hali ya kuwa katika majonzi /simanzi nzito . Jitahidi kuwa na furaha na amani muda wote , epuka ugomvi utakaosababisha hasira na chuki moyoni .

🗨 epuka kuwaza sana kupita kiasi na kuweka vinyongo au visasi rohoni. Nk

*VYAKULA HATARI KWA VIDONDA VYA TUMBO*

1. Pombe
Unywaji wa pombe unaweza kuathiri na kuharibu kuta za tumbo na utumbo. Hali hii inaweza kuongeza hatari ya kuweza kupata vidonda vya tumbo. Ama inaweza kusababisha hali ya mgonjwa kuwa mbaya zaidi.

2. Kahawa;
Kahawa inaweza kusababisha kuongezeka kwa uzalishwaji wa tindikali za tumboni (stomach acid). tindikal hizi zikizalishwa kwa wingi tumboni zinaweza kuchubuwa ukuta wa tumbo na hatimaye kusababisha vidonda vya tumbo

3, Vyakula vyenye mafuta na fati kwa wingi.
4, Pilipili kali vyema kupunguza kuzitumia
5.. Vyakula vyenye chumvi nyingi
6. Vyakula vya kuoka
7.. Vyakula vyenye uchachu
8. Wacha kuvuta sigara

Tunasaidia watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya hususani Kwa watu wanaosumbuliwa na kisukali, presha na saratani. ...
29/04/2023

Tunasaidia watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya hususani Kwa watu wanaosumbuliwa na kisukali, presha na saratani. LAKINI pia tiba hii inasaidia kuweka sawa kinga ya mwili Kwa watu waliodhoofika kiafya. Karibuni sana. Tunapatikana kupitia namba za Simu 0756921252

FURSA FURSA FURSAnapenda kuchukua nafasi hii kukualika wewe kijana unaehitaji mabadiliko kwenye maisha yako kwenye fursa...
08/04/2021

FURSA FURSA FURSA
napenda kuchukua nafasi hii kukualika wewe kijana unaehitaji mabadiliko kwenye maisha yako kwenye fursa isiyo angalia Elimu ulonayo Ungana na WATANZANIA WENZAKO walokuwa mitaani na sasa Wamebadilisha Maisha YAO kwa MUDA mchache
UNAALIKWA SIKU YA JUMAMOSI KWENYE SEMINA KUBWA YA AFYA NA UCHUMI KWENYE KAMPUN KUTOKEA MAREKANI SAA 7 MCHANA KWENYE UKUMBI WA MLIMANI CITY K**A UNAHITAJI KUFIKA TAFADHALI PIGA NAMBA 0756568115 UWEZE KUWEKEWA TICKET 🎫

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fursa Kwa Vijana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share