01/04/2025
K**a Unamiliki Gari, Bajaji au Pikipiki, fursa hii inaweza ikakufaa!
Kwa kufunga mfumo wetu wa GPS wenye teknolojia ya kisasa, unapata udhibiti kamili wa Chombo Chako kwa amani na usalama wa hali ya juu popote ulipo.
Boresha usimamizi wa chombo chako binafsi au cha biashara na ufurahie faida hizi za kipekee.
👉Utajua Mahali Halisi Chombo Chako kilipo Mda wote.
👉Utapata Ripoti zote za Safari ya Chombo chako, Yaani Utajua Mizunguko yoote.
👉Utaweza Kuzima na Kuwasha kwa Njia ya Simu Ukiwa popote Kwa urahisi Kabisa.
👉Utajua Chombo Chako Kimetembea Kilometa Ngapi Kila siku.
👉Utafahamu Muda gani chombo Kimepaki na mdagani Kimetembea.
👉Utaweza Kuweka Mipaka Chombo chako Kikivuka Upate taarifa.
👉Ripoti Zote Utazipa mojakwamoja Kupitia Simu yako Huna haja ya kuhangaika.
Chaguo ni Lako wewe Kuunganisha Chombo Chako na simu yako au Ubaki k**a Zamani!
Kwa sasa Tunayo ofa babkubwa kwa Watu Wachache Watakao wahi, Tunataka Tuitangaze Kampuni yetu ijulikane sehemu nyingi.
Gharama Halisi Kufunga Gari ni Tsh250,000 Lakini hutalipia hiyo Badala yake utalipia Tsh170,000 tu.
Bajaji Tsh170,000 Utalipia Tsh150,000 Tu.
Pikipiki Tsh150,000 Utalipia Tsh130,000 Tu
Kumbuka Baada ya Kulipia Gharama Hizo Hutolipia tena gharama zozote hiyo ni Mpaka milele.
Ofa hii ni ya muda Mchache na tangazo hili unaweza usilione tena!
K**a Utahitaji Huduma Hii Kuwa free tuawasiliane Mapema Kwa 0712524153
Au Gusa neno Send Message hapo Chini ya Tangazo Hili.
Huduma Yetu ni Ya Haraka Saana Mda mfupi tu baada ya kufungiwa utaweza kuona Chombo Chako kwenye Simu yako.
Mawasiliano:0712524153