16/04/2023
Foot Massager ni kifaa kilichotengenezwa na teknlogia ya kisasa, kinachosaidia kuchochea misuli kwenye miguu na kutoa massage yenye manutaa kwa afya ya miguu.
Kifaa hiki kinasaidia
• Kupunguza maumivu,
• kuimarisha misuli,
• kuboresha mtiririko wa damu,
• kuondoa miguu kuwaka moto
• Miguu kufa ganzi
• Miguu kujaa na
• kusaidia kupumzisha misuli ili kuondoa mongo wa miguu na kusaidia kupata usingizi.
Kifaa hchi ni husaidia makundi mbali mbali ikiwemo:
• Watu wanaotumia mda mrefu Kusimama au Kukaa
• Watu wenye matatizo ya miguu k**a plantar fasciitis, soreness, neuropathy, or poor circulation na mengineyo
• Watu wa Mazoezi
• Watu wanaosafiri
• Watu wanaojali afya zao na kutaka kurelax baada ya mda mrefu wa kazi
Hairuhusiwi kwa
• Wanawake wajawazito au wananyonyesha
• Watu wenye vidonda vibichi kwenye miguu
• Watu wenye upasuaji wa hivi karibuni kwenye miguu yao
Matumizi
• Weka massager kwenye sehemu inayofaa k**a sakafu.
• Weka miguu yako kwenye massager juu ya maeneo ya kutibu.
• Washa massager na kuchagua level.( unashauliwa kuanza na level 1 ilikuzoea kwanza).
• Chagua mode na nguvu ya massage kulingana na mapendekezo yako.
• Anza kufurahia massage yako ya miguu.
• Unawezatumia massager hii popote pale maana ni rahisi kubeba.