bongo_inspiration

bongo_inspiration bongo_inspiration ipo kukuhamasisha na kumuasha kimaisha kwa ujumla.

H.O.P.E πŸš€
11/01/2025

H.O.P.E πŸš€

17/03/2021

Pumzika kwa Amani, tulikupenda ila mwenyezi MUNGU amekupenda zaidi yetu... 17/03/2021
πŸ˜₯
😫



















#









Pumzika kwa Amani.. mzee wetu😫πŸ˜₯                    #
17/03/2021

Pumzika kwa Amani.. mzee wetu😫πŸ˜₯



















#









Pumzika kwa Amani, Rais wetu (Mr. President) 😫😫😫😫Tutakukumbuka Daima milele..Ulale mahali pema peponi πŸ™β€οΈπŸ˜₯😣😫            ...
17/03/2021

Pumzika kwa Amani, Rais wetu (Mr. President) 😫😫😫😫
Tutakukumbuka Daima milele..
Ulale mahali pema peponi πŸ™β€οΈ
πŸ˜₯
😣
😫

SWALI NI JE? WEWE BADO UNAOTA AU UMEAMKA ASUBUHI NA KWENDA KUUNENGA KESHO YAKO!? ✊✊                                     ...
10/03/2021

SWALI NI JE? WEWE BADO UNAOTA AU UMEAMKA ASUBUHI NA KWENDA KUUNENGA KESHO YAKO!? ✊✊

#

πŸ’₯✊πŸ’₯✊πŸ’₯✊Ukweli unakuja kwamba ili mwaka uwe wa ushindi, mavuno, kuvuna, kuinuka, kusogea, kufika viwango vingine inakupasa...
09/03/2021

πŸ’₯✊πŸ’₯✊πŸ’₯✊
Ukweli unakuja kwamba ili mwaka uwe wa ushindi, mavuno, kuvuna, kuinuka, kusogea, kufika viwango vingine inakupasa wewe binafsi uweke juhudi za kipekee na tofauti. Lazima wewe binafsi ujipange na ukubali kujitoa vya kutosha.

Mabadiliko na maendeleo yako sio muujiza, hakuna mafanikio ya kimiujiza Rafiki yangu. Hakuna mahali utakwenda kupewa nguvu Fulani ambayo itakufanya kila unachokifanya kifanikiwe vile unavyotaka. Acha kabisa kupoteza muda wako mwaka huu kwenda sehemu hizo za kupewa nguvu za namna hiyo.

Kila mmoja anaanza mwaka kwa hamasa kubwa na kelele nyingi lakini baada ya siku chache utaanza kuona kila mmoja analalamika kwamba Maisha ni magumu, mwezi huu haufai na mengine mengi. Baada ya muda sio mrefu sana utaanza kusahau kabisa malengo uliyojiwekea mwaka huu, pia inawezekana mpaka sasa hujaweka malengo yeyote na unasubiria mambo yatokee yenyewe.

Utakuwa unaendelea kupoteza muda wako k**a mpaka sasa hujajua ni vitu gani unataka kwenye mwaka huu. Unajinyima haki zako wewe mwenyewe, unajikosesha fursa wewe mwenyewe, unajiweka kwenye hali mbaya wewe mwenyewe.

Habari njema ni kwamba bado nafasi ipo k**a mpaka sasa hujaweka malengo yeyote anza leo andika kila kitu unachotaka kitokee kwenye Maisha yako mwaka huu. Andika pia ni lini unataka vitokee vitu hivyo na ni vitu gani unatakiwa ufanye ili viweze kutokea k**a unavyopanga

#

Wanawake wanaweza ✊ HAPPY WOMEN'S DAY 🌹Follow πŸ‘‡
08/03/2021

Wanawake wanaweza ✊
HAPPY WOMEN'S DAY 🌹
Follow πŸ‘‡

Tupe maoni yako... Utachagua kipi Kati Hapo!? 😁😎 Million 2 Sasa hivi AU Bilioni 2 baada ya miaka 10??FollowπŸ‘‡            ...
02/03/2021

Tupe maoni yako...
Utachagua kipi Kati Hapo!?
😁😎
Million 2 Sasa hivi AU Bilioni 2 baada ya miaka 10??
FollowπŸ‘‡

Kamwe usikubali LOGO yako ya biashara ikawa nzuri zaidi ya huduma unazozitoa kutoka biashara au Kampuni yako!? 😎😎Follow ...
02/03/2021

Kamwe usikubali LOGO yako ya biashara ikawa nzuri zaidi ya huduma unazozitoa kutoka biashara au Kampuni yako!?
😎😎
Follow πŸ‘‡

TUPE MTAZAMO WAKO KATIKA HILI... 😎Follow
27/02/2021

TUPE MTAZAMO WAKO KATIKA HILI... 😎
Follow

Eti ni kweli soko la camera limeshushwa Utumiaji sana wa simu !!? Tupe MTAZAMO WAKO!!Follow πŸ‘‡                           ...
27/02/2021

Eti ni kweli soko la camera limeshushwa Utumiaji sana wa simu !!? Tupe MTAZAMO WAKO!!
Follow πŸ‘‡

Address

Po Box 2847
Dar Es Salaam
255

Telephone

0659706393

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when bongo_inspiration posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to bongo_inspiration:

Share

Category