Weibaktz

Weibaktz Tunatengeneza mazingira yanayoleta urahisi, uharaka, usalama na uhakika kwa madereva na wamiliki wa

Tunawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya Eid 🕌.
29/06/2023

Tunawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya Eid 🕌.

Tusanue mdau wetu!
27/06/2023

Tusanue mdau wetu!


Ndugu dereva! Mdau wetu tunaomba maoni yako✍️
22/06/2023

Ndugu dereva! Mdau wetu tunaomba maoni yako✍️


Weibak tunaungana na ulimwengu mzima kushukuru na kuonesha upendo kwa akina baba wote kwa kupambana na  kujitolea kwao k...
18/06/2023

Weibak tunaungana na ulimwengu mzima kushukuru na kuonesha upendo kwa akina baba wote kwa kupambana na kujitolea kwao katika familia na jamii kwa ujumla!



Surge Pricing! Hii ni ongezeko la nauli ambapo hutokea kwenye eneo fulani ambako kuna abiria wengi kuliko madereva.Inapo...
13/06/2023

Surge Pricing! Hii ni ongezeko la nauli ambapo hutokea kwenye eneo fulani ambako kuna abiria wengi kuliko madereva.

Inapotokea hii, algorithm au mitambo ya Programu husika automatically hupandisha bei za safari ili kuvutia madereva walio nje ya eneo lile waende kufata nauli kubwa hivyo kuepusha abiria kusubiri sana.

Njia hii pia hutumika kutamanisha madereva wasiopenda kwenda umbali mrefu kufuata abiria!

Unaijua hii? Tusanue kwenye comment✍️


Dereva unapata adhabu gani mteja akiCancel safari kwenye teksi mtandao?
09/06/2023

Dereva unapata adhabu gani mteja akiCancel safari kwenye teksi mtandao?



Je unayajua majukwaa mangapi mpaka sasa ya teksi mtandao🙌? Embu yataje kwenye comment🚖
29/05/2023

Je unayajua majukwaa mangapi mpaka sasa ya teksi mtandao🙌? Embu yataje kwenye comment🚖


Mama ni ishara ya upendo wa kweli💛Heri ya siku ya mama duniani.
14/05/2023

Mama ni ishara ya upendo wa kweli💛
Heri ya siku ya mama duniani.

Dereva? Ukiacha abiria mbishi(mjuaji), aliyelewa kupita kiasi na mwenye msongo wa mawazo! Aina gani nyingine ni watata s...
05/05/2023

Dereva? Ukiacha abiria mbishi(mjuaji), aliyelewa kupita kiasi na mwenye msongo wa mawazo! Aina gani nyingine ni watata sana kwenye Gari?



Heri ya sikukuu ya wafanyakazi duniani​ ​
01/05/2023

Heri ya sikukuu ya wafanyakazi duniani​

Tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na zanzibar.
26/04/2023

Tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na zanzibar.


Tunawatakia sikukuu njema ya Eid yenye amani iliyojaa upendo na furaha.  🌙
22/04/2023

Tunawatakia sikukuu njema ya Eid yenye amani iliyojaa upendo na furaha.
🌙

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Weibaktz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share