09/08/2026
MAENEO YA WACHIMBAJI WADOGO,WILAYA CHUNYA
Serikali imetenga maeneo ya uchimbaji madini kwa ajili ya wachimbaji wadogo,lengo ni kufanya wachimbaji kufanya uchimbaji ulio rasmi kwa kufuata sheria.