20/09/2022
Application ya simu yenye uwezo wa kunasa meseji (SMS) za mtu yoyote inayofahamika kwa jina la BOXRETA ambayo inapatikana PLAYSTORE imezua utata baada ya kuk**atwa kwa mawasiliano ya askari polisi akijihusisha na ushoga
Inafahamika kuwa hii Application ya BOXRETA imewekwa PLAYSTORE kwa ajili ya watu ambao wapo katika mahusiano na imekua ikitumiwa sana na watu ambao wanaishi na wapenzi wao kwa lengo la kufuatilia meseji za wapenzi wao
Iwapo mke wako au mume wako atakua na hii Application ya BOXRETA kwenye simu yake basi ataweza kuwa anasoma meseji zako zote pasipo wewe kujua k**a meseji zako zinasomwa na mume wako au mke wako kupitia hii Application.
Inaelezwa kuwa huyu askari polisi meseji zake zimek**atwa kupitia Application hiyo ni meseji zilizo onesha akiwa anawataka wanaume wenzake kumuingilia kinyume na maumbile
Endelea kufuatilia ukurasa wetu kwa habari na burudani za kila siku.