TAEEs Company Limited

TAEEs Company Limited TAEEs Company Ltd.

is a multi-disciplinary design and project management focused consultancy company, anchored by a group of professionals having experience across various sectors of development and investments.

15/06/2022

Kuanzia nchi zinazoweka sera hadi kwa wahamasishaji wa , hatua kubwa zilipigwa mwaka wa 2020 zilizoonyesha huduma kuu tunazonufaika nazo kutoka kwa bayoanuai wakati wa Siku ya Mazingira Duniani.

Rasilimali zaidi: World Environment Day: a look back

On going ground Water modeling training in NRC Kibondo started from 9th Monday to 12th May, 2022 organized by TAEEs.
11/05/2022

On going ground Water modeling training in NRC Kibondo started from 9th Monday to 12th May, 2022 organized by TAEEs.

Call for Training on Ground Water Modeling using MoDMUSE
30/03/2022

Call for Training on Ground Water Modeling using MoDMUSE

18/03/2022
11/03/2022

Hello ndugu zangu wapendwa, kuna habari za kuchafuka kwa maji ziwa Victoria na hasa sehemu za mwanzo za maingilio ya maji kati ya mto Mara na Ziwa Victoria katika wilaya ya Rorya ambapo maji yamegeuka kuwa meusi sana na yanatoa harufu kiasi ambacho hayawezi kunyweka ama kutumika kwa matumizi ya kawaida.
Team za serikali ziko kazini kutafuta chanzo cha uchafuzi huo na majibu yakipatikana yatatolewa na serikali kwa wakati wao.
Kwa sasa hali ya upatikanaji wa maji safi na salama kwenye baadhi ya maeneo hayo hasa vijiji vya mwambao na ziwa hilo imekuwa changamoto sana na tunahitaji njia mbadala wa haraka ili kuboresha hali ya maji kwa muda mfupi ili watu waweze kupata mbadala wa upatikanaji wa maji ya kutumia wakati serikali inashughulikia kupata suruhisho la kudumu.
K**a mdau wa maji, afya na mwana mazingira na mtanzania, hili limetugusa sana na baada ya kuongea na mwenyekiti wa Kijiji kimojawapo kilichoathirika cha Kyamwame bwana John Kitende tumekubaliana kuboresha kisima ambacho kilishakuwepo ambapo kinaweza tumika k**a njia mbadala ya watu kupata maji ya kutumia na kunywa wakati serikali inashughulikia tatizo lililopo.
Hivyo, tunahitaji mchango wa hali na mali ili kisima kiweze kuboreshwa ndani ya muda mfupi na watu wapate maji. Kinahitajika kiasi cha shilingi 1,000,000 za haraka ili matengenezo ya hicho kisima yafanyike na watu wapate maji.
Hivyo basi k**a mdau wa maji, afya na mazingira tunaomba mchango wako ili tuweze kuboresha kisima hiki ndani ya siku mbili na maisha upatikanaji wa maji yaweze kuendelea.
Tunaomba utume mchango wako kwa mhandisi Deus Masige 0713483590 ama NMB account ya taasisi ya Mazingira TAEEs namba 23510008869 jina litakuja Tanzania Association of Environmental Engineers.
Tunaomba tushikane mkono katika kipindi hiki kigumu kwa wananchi wetu. πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

21/02/2022

The company works strictly on meeting contractual deadlines even the deadly deadlines and this has given the company the credibility from its customers. We do offer quality assurance and standard work as designed and we always strive to meet client’s satisfaction. Given a sheer size of our country especially rural settings, we do believe that it is always a privilege to execute assignments, which benefit the rural population, and as such we are prepared to carry out any assignment, located whether rural or urban.

Address

Mazingira Street 7E-8B, Bunju B, P. O. Box 35454
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAEEs Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TAEEs Company Limited:

Share