Elimu ya Afya na Tiba Lishe

Elimu ya Afya na Tiba Lishe Biashara na huduma ya afya

08/02/2022

PUNGUZA UZITO KWA MUDA MFUPI

Unene na uzito uliopitiliza unapelekea; magonjwa ya moyo na mshtuko wa mara kwa mara, kushambuliwa na kisukari kwa urahisi, ganzi ya mwili, stroke, matatizo ya kupata choo yanayopelekea kupatwa na bawasiri

Tuna program nzuri ya kupunguza uzito (weight management program) kwa kutumia Lishe zinazounguza mafuta na kurudisha umbo halisi la mwili wako

Whatsapp/call # +255766350053

Tumeanzisha group la elimu ya Afya, kiasi na mtindo wa maisha, bofya link kjuinga
14/12/2021

Tumeanzisha group la elimu ya Afya, kiasi na mtindo wa maisha, bofya link kjuinga

WhatsApp Group Invite

TATIZO LA BAWASIRI NA TIBA YAKEBawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kub...
16/11/2021

TATIZO LA BAWASIRI NA TIBA YAKE

Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo n.k

▶️Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama na kupelekea miwasho na maumivu makali.

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1. Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2. Kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3. Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4. Kupata kinyesi chenye damu
5. Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6. Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

▶️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
▶️ Ujauzito
▶️ Unywaji pombe
▶️ Kukaa sana sehemu ngumu
▶️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).
▶️ Kujisaidia Choo Kigumu.
▶️ Kula sana nyama nyekundu
▶️ Presha ya kupanda

AINA ZA BAWASIRI
-Kuna aina 2 za Bawasiri k**a ifuatavyo

1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:

HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.

HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda

HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI
1. Upungufu wa damu mwilini
2. Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3. Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4. Kupungukiwa nguvu za kiume.
5. Kutopata ujauzito au mimba kuharibika
6. Matatizo ya saikolojia

Tupigie; 0766350053

OMEGA 3 SALMON OIL FROM GNLDNini maana ya OMEGA 3Ni mafuta muhimu yanayohitajika katika miili yetu kwa ajili ya ukuaji w...
08/11/2021

OMEGA 3 SALMON OIL FROM GNLD

Nini maana ya OMEGA 3

Ni mafuta muhimu yanayohitajika katika miili yetu kwa ajili ya ukuaji wa kawaida na ufanyaji kazi wa moyo, damu na mishipa ya damu, ubongo, neva, macho, viungo, ngozi na ogani za uzazi.

Yanapatikana wapi ?*

Yanapatikana kwenye samaki, dagaa na baadhi ya mboga mboga.

Lakini* sio samaki wote wanaoweza kutoa Omega 3 halisi pia mafuta tunayoyapata kwenye vyakula mbalimbali ni yale mafuta mabaya (cholesterol/rehemu) OMEGA 6, 9 na 12 yanayoganda mwilini katika mishipa yetu ya damu, na hivyo hupelekea kuziba kwa njia za kupitisha damu na kusababisha; kutanuka kwa moyo, shambulio la moyo, shinikizo la damu, kisukari, stroke (kiharusi)
Mafuta hayo mabaya (cholesterol) hayatolewi kwa mazoezi, mazoezi hutoa mafuta kwenye muscles tu sio kwenye mishipa ya damu ndio maana hata wachezaji hupatwa na shambulio la moyo japo wana mazoezi ya kutosha.

KWA NINI UTUMIE OMEGA 3 SALMON OIL KUTOKA GNLD

Omega 3 Salmon Oil ya GNLD ni mafuta ya samaki aina ya Salmoni (Samaki pekee ayetoa mafuta ya Omega 3 halisi na yakutosha) wanaopatikana kwenye bahari yenye baridi, kina kirefu na maji safi ya Atlantic Kaskazini. Hatutumii mafuta ya papa, ndege wala mizoga, kombe au chaza, kaa au samaki wengine ambao wako katika hatari kubwa ya kupata sumu kutokana na mazingira. GNLD inaweka viwango vya uhalisi wa bidhaa.

Faida ya kutumia Omega 3 Salmon Oil
▪️Inaondoa mafuta mabaya (cholesterol) katika mishipa ya damu
▪️Huimarisha afya ya moyo na mzunguko wa damu
▪️ Huimarisha afya ya viungo (joints) kwa kuongeza ute ute (synovial fluid) hata gauts
▪️Hukinga mwili dhidi ya shinikizo la moyo na stroke
▪️Huongeza kumbuku hasa kwa watoto sababu yana EPA na DHA
▪️Inaimarisha afya ya ubongo ya watoto na kutunza kumbukumbu
▪️Inaimarisha afya ya macho
▪️Inasaidia ufanyaji kazi wa kongosho (pancreas)
▪️Inaondoa rashes kwenye ngozi (kwa mtoto na mtu mzima)
▪️Inazuia magonjwa ya kurithi iwapo itatumiwa wakati wa ujauzito
▪️Inazibua mirija ya mayai ya mwanamke iliyoziba ikitumiwa na Garlic Allium.

Boresha afya ya moyo wako, neva, ubongo, na ngozi kwa ktumia mafuta ya Omega 3 Salmon Oil sasa.

Tupigie/Whatsapp; 0766350053

MALE INFERTILITYNearly 1 in 7 couples is infertile, which means they haven't been able to conceive a child even though t...
04/11/2021

MALE INFERTILITY

Nearly 1 in 7 couples is infertile, which means they haven't been able to conceive a child even though they've had frequent, unprotected s*xual in*******se for a year or longer. In up to half of these couples, male infertility plays at least a partial role.

Male infertility can be caused by low s***m production, abnormal s***m function or blockages that prevent the delivery of s***m. Illnesses, injuries, chronic health problems, lifestyle choices and other factors may contribute to male infertility.

SYMPTOMS
The sign of male infertility is the inability to conceive a child. There may be no other obvious signs or symptoms.

In some cases, however, an underlying problem such as an inherited disorder, hormonal imbalance, dilated veins around the testicle or a condition that blocks the passage of s***m causes signs and symptoms. Signs and symptoms you may notice include:

▪️Problems with s*xual function — for example, difficulty with ej*******on or small volumes of fluid ej******ed, reduced s*xual desire, or difficulty maintaining an er****on (erectile dysfunction)

▪️Pain, swelling or a lump in the testicle area

▪️Recurrent respiratory infections

▪️Inability to smell

▪️Abnormal breast growth (gynecomastia)

▪️Decreased facial or body hair or other signs of a chromosomal or hormonal abnormality

▪️A lower than normal s***m count (fewer than 15 million s***m per milliliter of semen or a total s***m count of less than 39 million per ej*****te)

WHEN TO SEE A DOCTOR

See a doctor if you have been unable to conceive a child after a year of regular, unprotected in*******se or sooner if you have any of the following:

▪️Erection or ej*******on problems, low s*x drive, or other problems with s*xual function

▪️Pain, discomfort, a lump or swelling in the testicle area

▪️A history of testicle, prostate or s*xual problems

▪️A groin, testicle, p***s or sc***um surgery

MALE INFERTILITY CARE Tiba Lishe]

Our caring team of Tiba Lishe] help you with your health concerns.

Call/Whatsapp; +255766350053

TUNAZO TIBA ZOTE HIZO .tz KARIBU TUKUHUDUMIE Tupigie/Whatsapp; +255766350053
04/11/2021

TUNAZO TIBA ZOTE HIZO .tz KARIBU TUKUHUDUMIE

Tupigie/Whatsapp; +255766350053

UGONJWA WA PID NI NINI?? ~Ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukiz...
04/11/2021

UGONJWA WA PID NI NINI??

~Ni ugonjwa wa maambukizi unaotokea katika via vya uzazi wa mwanamke ambapo huhusisha maambukizi katika shingo ya kizazi (CERVICITIS),nyama katika mfuko wa uzazi (ENDOMETRIOSIS) na mirija ya uzazi (SALPINGITIS)

VYANZO NA VIHATARISHI VYA KUPATA UGONJWA WA PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)

Vimelea aina ya NEISSERIA GONORHOEAE pamoja na CHLAMYDIA TRACHOMATIS ndio chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa PID ingawaje kuna aina kadhaa za vimelea vinahusishwa kusababisha ugonjwa wa PID hivyo nilivyotaja ndio vinaongoza Kwa umaarufu kusababisha ugonjwa wa PID
~pamoja na vimelea hao kuwa chanzo kikuu cha ugonjwa wa PID zipo njia KADHAA HATARISHI KUSABABISHA MAAMBUKIZI HAYA NAZO NI;

▪️kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi(IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango
▪️Kufanya ngono isiyo salama
▪️Maambukizi ya njia za uzazi mara baada ya kujifungua au mimba kuharibika
▪️Kuambukizwa kupitia damu yenye vimelea wa PID
▪️Kupata maambukizi wakati wa kutoa mimba kwa njia isiyo salama

DALILI/VIASHIRIA VYA UGONJWA WA PID
▪️Mwanamke kupata maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
▪️Kupata maumivu wakati wa kukojoa
▪️Kupata homa na kuhisi kichefuchefu
▪️Kupata maumivu ya mgongo na kutapika
▪️Kutokwa na hedhi bila mpangilio
▪️Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
▪️Kutokwa na uchafu(utoko)mweupe ukeni unaotoa harufu mbaya

NAMNA YA KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA PID
Pamoja na kuwepo kwa dawa za kutibu tatizo hili ni vyema ukajiepusha na vihatarishi vya kupata tatizo hili kwa kuzingatia yafuatayo,
▪️Epuka kufanya ngono isiyo salama.
▪️Jiwekee tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara hasa kizazi
▪️Usifanye mapenzi mara baada ya kujifungua au mimba kutoka mpaka utakapohakikisha shingo ya uzazi imefunga vema
▪️Kuwahi kuonana na daktari unapoona dalili za ugonjwa
▪️Kuwa msafi na kula lishe bora

TIBA YA PID tz tuna tiba Lishe bora kabisa zinazotibu tatizo hili na kirudisha afya yako ya awali

Tupigie/Whatsapp; 0766350053

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 16:00
Sunday 00:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimu ya Afya na Tiba Lishe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Elimu ya Afya na Tiba Lishe:

Share