KOGA decoration

KOGA  decoration Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KOGA decoration, Business service, kapayaissa24 . cim, Dar es Salaam.

12/01/2024
11/01/2024

Mie maoni yangu Jana kashinda lefa na sio Simba 👌 wewe Nini maoni yako

11/01/2024

Jee? Kati ya mapenzi na pesa kipi ukikosa huwa una umwa?

11/01/2024

Kati ya mapenzi na kazi wewe kipi kina kupa shida kwenye maisha yako?

11/01/2024
11/01/2024

📌📌 MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT SAMIA AKITETA JAMBO NA MWENEZI MAKONDA

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo , Ndugu Paul Christian Makonda, Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika Viwanja vya Maisara, Zanzibar leo tarehe 10 Januari, 2024.




10/01/2024

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliofanyika kwenye Viwanja vya Maisara, Zanzibar tarehe 10 Januari, 2024. 🇹🇿 🇹🇿

Address

Kapayaissa24 @gmail. Cim
Dar Es Salaam

Telephone

+255686474866

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KOGA decoration posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share