Jifunze Ujasiriamali

Jifunze Ujasiriamali Tunawasaidia wajasiriamali kuandaa mipango ya biashara zao

HABARI ZA LEO MJASIRIAMALI! 👋 Je, umechoka kupoteza faida ya duka lako kwa sababu ya kutokuwa na kumbukumbu sahihi? Au u...
10/06/2026

HABARI ZA LEO MJASIRIAMALI! 👋

Je, umechoka kupoteza faida ya duka lako kwa sababu ya kutokuwa na kumbukumbu sahihi? Au umechoka kulipia mifumo ya gharama kila mwezi?

Tuna habari njema! Sasa unaweza kusimamia "Duka la Mangi", genge, saluni, au hardware yako bure kabisa 100% kwa maisha yako yote!

🥳Tunakutambulisha kwenye ForeverFree POS & CRM—mfumo wa kisasa unaofanya kazi vizuri kwenye simu, tablet, au kompyuta yako.

SIFA KUBWA ZA MFUMO HUU:

Simu yako inakuwa mashine ya mauzo na kutoa risiti 📱

1️⃣Kujua faida na hasara kwa mbofyo mmoja tu 📊

2️⃣Kujua stoku iliyobaki na kupata taarifa bidhaa zikiisha 🛒

3️⃣Kufuatilia wafanyakazi wako na kujua kiasi kilichopo kwenye droo ya pesa 💵

4️⃣Kurekodi madeni ya wateja na matumizi yako yote ya kila siku 📝

TOFAUTI YAKE NA MIFUMO MINGINE NI IPI?

Mifumo mingi inakupa majaribio ya siku chache kisha unalipia. Huu ni BURE DAIMA! Huna ada ya mwezi wala ya mwaka.

Jinsi ya kuanza na kupata mafunzo:

Mafunzo ya vitendo yameanza rasmi leo kwenye magrupu yetu ya WhatsApp na Telegram (TRPG). Ndani ya siku 1 au 2 tu utakuwa umeshaelewa kila kitu bila kuhitaji utalamu wa IT!

Tuma ujumbe wenye neno “ForeverFree” kwenda WhatsApp namba 0761002125 au gusa link hapa chini kupata utaratibu wa kujiunga sasa hivi! ⬇️

🔗 [ https://wa.link/hxxg75 ]

DUKA LINALOJIUZA LENYEWE BILA MHUDUMU Ni nguvu za giza, nguvu za Kimungu, au Sayansi iliyojificha? 🤔Katika mikoa ya Irin...
29/05/2026

DUKA LINALOJIUZA LENYEWE BILA MHUDUMU

Ni nguvu za giza, nguvu za Kimungu, au Sayansi iliyojificha? 🤔

Katika mikoa ya Iringa, Njombe, na Makambako (Nyanda za Juu Kusini), kuna mtindo wa biashara unaostaajabisha sana!

Mmiliki anafungua duka au genge lake asubuhi, anapanga bidhaa, anaweka Birika la kuwekea pesa kisha anaondoka zake kwenye mihangaiko mingine!

Wateja wanapokuja dukani, wanachukua bidhaa wenyewe na kutumbukiza pesa kwenye birika kishana hujiondokea

Jioni mmiliki anarudi kukusanya hesabu zake bila mhudumu yeyote kuwepo.

Kuna maduka mengine hayana kabisa milango ya kawaida wala (grili), na usiku mwenye duka huweka pazia tu na kwenda kulala zake nyumbani. Hakuna anayeiba! 😲

Wengi wetu tunaweza kudhania hizi ni "nguvu za giza" au ushirikina na uganga

Lakini ukiwauliza wahusika wenyewe wanadai kwamba eti hizi ni "Nguvu za Kimungu".

Lakini je, unafahamu kuwa kuna siri kubwa iliyojificha nyuma ya mfumo huu wa kijadi?

Baada ya kufanya utafiti wa kina, kwenye kitabu changu toleo jipya , "Siri ya Mafanikio ya Biashara ya Duka la Rejareja (New Tech Edition 2026)", nimechambua A-Z jinsi mfumo huu unavyofanya kazi na jinsi unavyoweza kuutumia ukipenda kulinda biashara yako bila hata kutumia mifumo iliyozoeleka ya madaftari na app za mauzo kidijitali

Kila kitu kiko wazi kwenye Sura ya 6, Ukurasa wa 233.

💥 OFFA YA LEO:

Bei ya kitabu ni Tsh 15,000/= lakini ukiwahi kukinunua sasa hivi utajipatia kwa Tsh 10,000/= tu!

(Ofa hii ni kwa watu wa mwanzo pekee).

Jinsi ya kukipata:

Lipia Tsh 10,000/= kwa namba 0761002125 (Peter Augustino Tarimo).

Kisha nitumie ujumbe wa uthibitisho wa malipo kwa WhatsApp au sms.

Nitakutumia link ya kitabu na Coupon yako ya punguzo muda huohuo ukipakue!

👇 Weka maoni yako hapo chini: Je, wewe ushawahi kuona duka la namna hii?

Na unadhani ni Nguvu za giza kweli au ni uaminifu tu wa watu wa mikoani?

Twende sawa kwenye maoni!

27/02/2026
12/08/2025

NANI KAKUDANGANYA ETI DUKA HALILIPI?

Utaambiwa....Oo.....Duka halilipi, sijui Chumaulete wengi....na mambo chungu nzima! Lakini bado kuna watu wananunua magari, wanasomesha watoto shule nzuri, wananunua viwanja na hata kupata mitaji ya kufungua biashara nyingine kubwa kubwa kwa kutumia maduka hayo hayo.

Tofauti yao na wewe ni mbinu tu wanazotumia kudhibiti mapato yao yasipotee kirahisi. Wachagga, Wapemba na Wakinga hukomaa wenyewe au na wake zao mpaka wanatoboa.

Lakini mbinu hii ni ya kizamani mno na zipo mbinu nyingine mpya na rahisi zaidi za kudhibiti mapato ya duka lako yasipotee kiholela hata k**a wewe ni muajiriwa mahali fulani au una shughuli nyingine.

Kitabu hiki kimekuwa mkombozi kwa wengi walio na mitaji kidogo, wanaotamani kumiliki biashara kubwa zaidi. Duka limekuwa daraja la kuwavusha. Uzuri wa biashara hii ni rahisi kufungua, mtaji kidogo na faida ya uhakika ukitumia mbinu sahihi.

Tumezingatia kutatua changamoto kuu za biashara hii na nyingine zote za rejareja, hivyo ndani utakutana na mambo mengi nikiyataja mchache tu hapa chini;

(1) Mfumo mahsusi wa usimamizi wasaidizi/mfanyakazi wako asiweze kukudokolea hata senti 5

(2) Mbinu za kuvutia wateja na njia za kuongeza mauzo mara dufu

(3) Mifano ya madaftari ya kumbukumbu & hesabu, mkataba wa kuajiri mfanyakazi kuzuia sintofahamu yeyote ile hapo baadae na mfano wa tangazo la kipekee la kutafuta mfanyakazi anayefaa

(4) Mifano na Jinsi ya kuzitumia fursa za Akili mnemba (AI) kwenye biashara za rejareja

(5) Namna ya kudili na chumaulete, ushirikina na nguvu zote zilizo nje ya uwezo wa kawaida wa binadamu kwenye biashara za rejareja

(6) Na mengineyo mengi

JINSI YA KUKIPATA, BEI NA OFFA YETU KWA WATU 20 TU!

Bei ya kitabu hiki nakala laini / e-book (PDF) ni Tsh. 10,000/= na tunatuma kwenye simu au kompyuta lakini pia kinapatikana kwenye duka letu la mtandaoni. Nakala ngumu (hardcopy) Dar e salaam ni Tsh. 20,000/= tunakuletea ulipo kisha ndipo unalipia kitabu. Mikoa mingine kwa mabasi ni Tsh. 30,000/=

OFFA YETU LEO KWA WATU 20 TU!

Tunahitaji watu 30, (watu 10 tayari wameshapatikana) kwa ajili ya Programu yetu ya kukata na shoka ya kutengeneza Mamilionea wa Kitanzania 30 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja iitwayo 2025 MAKE YOURSELF GREAT AGAIN

Lengo letu kubwa ni kila mshiriki ndani ya miezi 12 awe ametengeneza kiasi cha chini kabisa shilingi milioni 5 za kitanzania bila kujali sasa hivi anao mtaji au tu anafanya biashara za Uwinga.

Wanaweza kutengeneza zaidi ya kiasi hicho hata milioni 200 na zaidi kulingana na juhudi na mtaji wa mhusika mwenyewe alio nao lakini Milioni 5 ni minimum.

Washiriki tumeunda Ushirika wa kushauriana MASTERMIND GROUP la watu 30 ambapo kwa kutumia mafunzo kutoka vitabu vya kimkakati k**a vile Think & Grow Rich na vinginevyo, mafunzo mbalimbali mfano jinsi ya kutengeneza mipango ya biashara zinazolipa, mbinu za kufanya biashara ya rejareja kwa mafanikio, jinsi ya kutafuta masoko mtandaoni na nje ya mtandao, mbinu za mauzo, matumizi ya ‘AI’ Ubunifu wa kipekee kwenye biashara na kuhimizana kuweka katika vitendo hayo mafunzo, tutaweza kulifikia lengo hilo kwa wepesi

Tayari watu 10 wa mwazo tumekwishaanza kazi na kitabu cha kwanza kabisa kwa ajili ya Mindsetting (Kujenga utayari wa kiakili) tunaendelea kusoma Think & Grow Rich kwa Kiswahili na Kiingereza.

Masomo mengine na programu mbalimbali zitaanza effectively tukikamilika members 30, hatutaki watu wengi kwa minajili ya ufanisi hivyo hatutaongeza watu zaidi ya hao 30

Mwezeshaji na mwanzilishi wa programu hii ni Mr Peter A. Tarimo mfasiri kwa Kiswahili kitabu cha Think & Grow Rich, Mtunzi wa vitabu 6 mpaka sasa hivi na mwandishi wa dazani kadhaa za Michanganuo ya Biashara mbalimbali kwa Makampuni na wajasiriamali binafsi.

Tarimo amejitolea kufadhili Programu hii kwa kutoa E-books za vitabu vyake vyote na michanganuo ya biashara mbalimbali kwa Washiriki hawa 30 ili kutimiza malengo. Pia amejitolea kusimamia zoezi la usomaji vitabu na programu nzima kwa ujumla mpaka ifanikiwe.

Ukilipia kitabu hiki cha Duka la rejareja na k**a unahitaji kujiunga na programu hii kabla nafasi hazijajaa basi utakuwa umejinyakulia kifurushi chenye vitabu na Michanganuo jumla vitu (items) 20 k**a orodha inavyoonyesha hapo chini mwishoni kabisa;

Ndani ya kifurushi hicho utakuta pia kiungo au link ya group la Mamilionea Watarajiwa 30, utagusa tu na kujiunga papo hapo. Miongoni mwa E-books hizo ipo PDF ya Think & Grow Rich ya Kiswahili na ya kiingereza isiyogushiwa (Unbridged version, kwani nyingi mitandaoni watu wameongeza huko maneno yao) ni kitabu tunachokisoma sasa hivi kwa ajili ya kuandaa saikolojia zetu kabla ya kuwa mamimilionea.

1. LIPIA SASA HIVI SH. 10,000/= KWA NAMBA 0761002125 JINA PETER AUGUSTINO TARIMO

2. KISHA UJUMBE WA SMS AU WATSAP USEMAO, “NIUNGE MILIONEA MTARAJIWA” TUMA PIA ANUANI YAKO YA E-MAIL(BARUA PEPE) KWA AJILI YA KUKUTUMIA KIFURUSHI CHAKO, K**A HUNA KABISA UNAWEZA KUNIPA TU NAMBA YA WATSAP.

3. NJIA YA PILI UNAWEZA KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE DUKA LETU MTANDAONI (BOFYA HICHO KIUNGO), NIMEWEKA KIFURUSHI HICHO PALE, LIPIA KWA MTANDAO WAKO WA SIMU KISHA PAKUA/DWNLOAD KIFURUSHI CHAKO MUDA HUOHUO.

IFUATAYO NI ORODHA YA VITABU NA MICHANGANUO (VITU 20) VILIVYOPO NDANI YA KIFURUSHI CHA MAMILIONEA 30 WATARAJIWA

1. KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali (Kina kurasa 440)

2. KITABU: Mafanikio ya biashara: Duka la Rejareja –Toleo jipya 2025 & Genge ndani yake

3. KITABU: Think & Grow Rich-Swahili Edition (Fikiri & Utajitike)

4. A BOOK: Think & Grow Rich- Original Unabridged English Version -1937 with the very first cover (Very rare now)

5. KITABU: Mifereji 7 ya pesa na Siri matajiri wasiyopenda kuitoa

6. KITABU: Siri na Kanuni ya kujifunza Elimu ya Pesa na Mafanikio toleo jipya 2025

7. KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara yako dk. 30 Tu (A Lean Business plan)

8. KITABU: Sayansi & Sanaa ya Upishi wa chapatti laini

9. A BOOK: How to Write A Business Plan – kilichoandikwa na nguli wa michanganuo Duniani na hutumiwa na vyuo vikuu vingi Marekani

10. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji unga wa Dona (Usado milling)

11. MCHANGANUO: Shule ya Msingi na Chekechea (Heaven Light Pre & Primary School)

12. MCHANGANUO: Saluni ya k**e (Rose Hair & Beauty salon)

13. MCHANGANUO: Kuku wa kisasa wa mayai (Mayai bora project)

14. MCHANGANUO: Kuku wa kisasa wa nyama (Tumaini Broilers) kwa Kiswahili na kwa kiingereza

15. MCHANGANUO: Mgahawa wa Chakula (Jane Restaurant) kwa kiswahili na kwa kiingereza

16. MCHANGANUO: Kilimo cha Matikiti Maji (Kibada Watermelon)

17. MCHANGANUO: Biashara ya kuuza chipsi (Amani chips centre Buguruni)

18. MCHANGANUO: Kiwanda cha tofali za saruji (Kiluvya bricks)

19. MCHANGANUO: Events Planning in Dar es salaam (Margareta Events in Dar Bplan)

20. MCHANGANUO: Uongezaji thamani mashamba ya zabibu Dodoma (Makupila Real Estate Agency)

MAWASILIANO:
0765553030 / 0761002125

Tunawasaidia wajasiriamali kuandaa mipango ya biashara zao

02/08/2025

Elimu ya ujasiriamali, biashara, na jinsi ya kuondokana na umasikini kwa wafanyabiashara ndogondogo.

02/08/2025

Elimu ya ujasiriamali, biashara, na jinsi ya kuondokana na umasikini kwa wafanyabiashara ndogondogo.

02/08/2025

Elimu ya ujasiriamali, biashara, na jinsi ya kuondokana na umasikini kwa wafanyabiashara ndogondogo.

02/08/2025

Elimu ya ujasiriamali, biashara, na jinsi ya kuondokana na umasikini kwa wafanyabiashara ndogondogo.

31/07/2025

Elimu ya ujasiriamali, biashara, na jinsi ya kuondokana na umasikini kwa wafanyabiashara ndogondogo.

30/07/2025

Elimu ya ujasiriamali, biashara, na jinsi ya kuondokana na umasikini kwa wafanyabiashara ndogondogo.

Address

DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze Ujasiriamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share