15/09/2025
πΆ HII NI KWA WAPENZI WOTE WA DANCE NA MADANCERS πΆ
Karibu sana kwenye tukio la kipekee Jumamosi hii!
π Inaweza kuwa nafasi yako ya kuonekana na kuonyesha kipaji chako.
Usikose, kutakuwa na:
β¨ Burudani kali
β¨ Mafunzo na mitindo mipya
β¨ Fursa za kipekee za kujulikana
β¨ V surprises vingine vya kuvutia
β° Muda: Saa 8 mchana β Saa 10 jioni
π Mahali: AMELL
π +255 679 770 888
Njoo ufurahie, jionyeshe, na uchukue nafasi yako! ππΊ