Blizanca Tanzania Co. Ltd

Blizanca Tanzania Co. Ltd We are dealing with export of agri food products and import of agricultural equipments

Wapendwa watejaHii inapanda Kwa mistari sita Kwa wakati mmoja na unatumia mafuta  pia Haili mafuta Sana kabisa na inapan...
18/11/2025

Wapendwa wateja
Hii inapanda Kwa mistari sita Kwa wakati mmoja na unatumia mafuta pia Haili mafuta Sana kabisa na inapanda heka Moja adi Moja na nusu Kwa Lisa limoja k**a unakuwa Shap na haraka kuiendesha
Hii ipo Tanzania na NI made from Thailand
Bei NI M7500000
Bei inapungua
Karibuni Sanaa
0746102336

Wapendwa wateja na maboss zetuHizi mashine zinapanda Kwa wakati mmoja ila NI mistari miwiliBei ya kuagiza 700000Zinakuja...
18/11/2025

Wapendwa wateja na maboss zetu
Hizi mashine zinapanda Kwa wakati mmoja ila NI mistari miwili
Bei ya kuagiza 700000
Zinakuja Kwa oda Tu tena oda ilio lipiwa Tu
0746102336

Wapendwa wateja wetu kuna maboss waliniulizia kuhusu hiziMashine zinazopanda mbegu  za mpunga TuZinakuja Kwa oda Tu mabo...
26/05/2025

Wapendwa wateja wetu kuna maboss waliniulizia kuhusu hizi
Mashine zinazopanda mbegu za mpunga Tu
Zinakuja Kwa oda Tu maboss

02/11/2024

Hiyo ni mashine ya kupandia mpunga
-ukubwa wa mashine 110cm×140cm×45cm
-Mashine unauwezo WA kupanda ekari 1 Kwa Lisa k**a unapanda pole pole ila k**a unapanda Kwa speed lisa unauwezo WA kupanda ekari 2
-ukubwa wa engine size GX -35
-Matumizi ya mufuta 0.5liter Kwa Lisa
-Mashine hii unaweza kuajust nafasi kati ya sehemu na sehemu kwenye kupanda
-Mashine hii inakurahisishia kazi na hata inapunguza garama ya vibarua shambani
-Mashine hii ni fuel consumption
-Mashine hii ukiwa nayo inaweza ikawa ni moja ya fursa ya kukuingizia kipato
-Made in Vietnam
-ipo Dar es salaam bei ni 10m ilapia bei isikuogopeshe bei pia inaongeleka
Mashine hii inapanda mistari sita kwa wakat mmoja
Na pia kuna ya kupanda mistari minne ila hii inakuja nikwa oda tu bei ni M6.1

Hizi zinapanda na kuweka mbolea wakati mmoja bei ya kuagizia Ni 75000Zinakuja kwa meli tu siku 35 adi 45+255629099283
28/04/2024

Hizi zinapanda na kuweka mbolea wakati mmoja bei ya kuagizia
Ni 75000
Zinakuja kwa meli tu siku 35 adi 45
+255629099283

19/10/2023
Hizi zinakuja kwa oda
19/10/2023

Hizi zinakuja kwa oda

Karibu
17/10/2023

Karibu

Karibuni turahisishe kilimo na tupunguze garama ya wafanya kazi mashambani kwa kutumia mashine hizi
17/10/2023

Karibuni turahisishe kilimo na tupunguze garama ya wafanya kazi mashambani kwa kutumia mashine hizi

Tunaelekea msimu wa kuandaa mashamba kwa ajili ya kupanda  mazao ya mahindi,maharage,karanga,soya,mpunga na mazao mengin...
17/10/2023

Tunaelekea msimu wa kuandaa mashamba kwa ajili ya kupanda mazao ya mahindi,maharage,karanga,soya,mpunga na mazao mengine
Karibu tukuuzie
1)mashine ya kupanda uku unaweka mbolea
2mashine ya kupandia mahindi
🌽🌽🌽🌽Yakupanda tupu bei ni 350000 ukichuku nyingi bei inapungua
Yakupanda huku unaweka mbolea bei ni 450000 ukichukua nyingi bei inapungua
Karibuni sana

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Blizanca Tanzania Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share