Taishan Mabati HQ

Taishan Mabati HQ Karibu Official Taishan Mabati HQ, Kwa ubora na Uaminifu Karibu Taishan Mabati Hq.

20/06/2026

PROFILE: IT 5 MATTE
WIDTH: 87CM
COLOR: Blue
GAUGE:28G (0.32mm)
CATEGORY: Special Order.
LOCATION SAITE : Dodoma Shule
OFFICIAL Taishan Mabati Head Quarters.
⚡0713 418 800.

09/06/2026

01/06/2026
Hongera sana ndugu yetu na rafiki wa kazi kwa hatua hii kubwa ya ndoa. Familia ya TAISHAN tunafurahi kukuona umeanza uku...
26/05/2026

Hongera sana ndugu yetu na rafiki wa kazi kwa hatua hii kubwa ya ndoa. Familia ya TAISHAN tunafurahi kukuona umeanza ukurasa mpya wa maisha. Tunakuombea ndoa yenye upendo, heshima, amani na mafanikio tele. Mungu awajaalie afya, furaha na umoja wa kudumu katika maisha yenu ya ndoa. Karibu kwenye hatua mpya ya maisha, na kumbuka sisi ndugu zako wa kazini tupo pamoja nawe. Hongera sana kwa ndoa yako! 🎉❤️

And Mrs Jackson Mussiba

26/05/2026

🏠 UNAHITAJI BATI YA TAISHAN? CHAGUA UBORA UNAONEKANA NA KUDUMU! 🔥
K**a unatafuta bati la kisasa lenye muonekano wa kuvutia, uimara wa kuaminika na linaloongeza thamani ya nyumba au biashara yako — Bati ya Taishan ni chaguo sahihi kwako! Iwe ni nyumba ya kuishi, fremu ya biashara, godown au mradi mkubwa wa ujenzi, tunakuletea suluhisho la paa lenye hadhi na ubora.
Bati ya Taishan imekuwa chaguo la wengi wanaopenda paa la kisasa, mwonekano safi na uimara wa muda mrefu. Paa lako si sehemu ya kufunika nyumba pekee, bali ni taswira ya ubora wa uwekezaji wako. Chagua kinachotoa muonekano wa kuvutia na thamani ya kudumu.

✅ Muonekano wa kisasa na wa kifahari
✅ Uimara unaokupa amani ya muda mrefu
✅ Inafaa kwa nyumba, biashara na miradi mbalimbali
✅ Chaguo sahihi kwa wanaotaka ubora wa kweli
Usikubali nyumba yako ibaki kawaida wakati unaweza kuipa mwonekano wa kuvutia kwa uchaguzi sahihi wa bati. Fanya oda yako leo na pata huduma bora pamoja na ushauri wa kitaalamu.

Address

Tabata Matumbi Sukitaa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 15:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taishan Mabati HQ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Taishan Mabati HQ:

Share