29/11/2023
DAWA YA ASILI YA MINYOO YA AINA YOYOTE
Utachukua papai lililoiva menya kula tunda zile mbegu kausha vizuri juani twanga pata unga wake tumia kijiko kidogo kile cha chai tia kwenye chai au uji au maji vuguvugu kunywa x2 kutwa siku 5 tu
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA KUPATA CHOO KWA KILICHOFUNGA (KUKOSA CHOO)
Utachukua ndizi mbivu zile ambazo zikiiva zinakuwa k**a zina madoadoa meusi (madoa yake k**a vidotodoti) kula ndizi zako mpaka ujione kushiba tulia utafunguka choo vizuri bila kuharisha na ukitaka ya kuharisha chukua uwatu mbegu chemsha kwenye maji kunywa kikombe kimoja tu utaharisha x3-5 na kitakuwa kimefunguka choo chako pia nyingine habatmulki chukua mbegu ya habatmulki igawe vipande 4 kipande kimoja tafuna meza utaharisha vizuri na kitafunguka choo chako hii usije kuitafuna punje nzima utalazwa hospitali maana inaharishisha kwa wingi kuliko zote kutokana na uwezo wake mkubwa wakusafisha tumbo na kutoa sumu mwilini kwa haraka zaidi.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA WATEJA KWENYE BIASHARA
Chukua ambari karafuu na kitunguuswaum choma mlangoni mwako kila ukifungua hakika itafunguka biashara yako na utauza sana tu hata wale wenye vilinge vinaota majani vinajaa mabuibui wateja hakuna kabisa basi tiba ni hii na usifunge watu ukiwa kilingeni kwako ndio kinachokufungia na usifungue mtu bila kujifungua baada yake utanawiri na kupendeza kwenye kazi yako daima.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA KUPATA USINGIZI
Kunywa asali kijiko kimoja cha chakula kwenye maziwa fresh glasi moja au pia waweza kuiweka kwenye maji robo kikombe ukanywa baada tu ya kula Cha usiku utapata usingizi mzuri sana na asali yenyewe iwe ya nyuki wadogo.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA KUONGEZA HAMU KWA WOTE
( i ) Wanaume
Nenda duka asili waambie wakupe hii dawa inaitwa kalila mlipu mdaula na mkundekunde changanya pamoja vizuri kisha tumia kunywa kwenye chai au uji kijiko kimoja cha mchanganyiko huo na utaona utofauti wa awali na baada ya kuitumia dawa hiyo na dawa hii haiwasaidii wengi wenye matatizo ya jini subiani na maswala ya mizimu ubabani yanachangia sana tatizo hilo hivyo ikiwa unafahamu kuwa unashida hiyo basi nenda kajishughulikie ndio uitumie hivihivi katu utabaki kulaumu dawa sio nzuri dawa hazifanyi kazi kariri hili mwanaume asiye na stress huburudika zaidi kwenye tendo kuliko mwenye stress mwanaume mwanamazoezi anafurahia zaidi tendo kuliko aliyekaa tu hana muda wa mazoezi japo dakika 10 tu kwa siku huyu hata atumie muku atabaki kulaumu maana zile zinamzidi nguvu mwanaume anayepata huduma hiyo kwa wakati huwa imara zaidi kuliko ambaye upataji wake huduma hiyo ni kwa mwezi x1 au 2 tu huyu madhaifu kwake ni kawaida lakini anayeipata kwa wingi na kwa uzuri zaidi huifurahia zaidi kila apatapo nafasi hiyo kwakuwa anauhakika wa kumridhisha aliyenaye na kuridhika binafsi hivyo tuvipe vitu haki yake tusilazimishe wala tusijizuie haki kuipa nafasi yake.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
(ii) KUONGEZA HAMU KWA WANAWAKE
Ondoa stress zote ruhusu haki ipate haki yake
Nenda porini tu chukua kokwa la embe twanga kausha twanga upate unga wake changanya na maji kidogo sana liwe rojo (changanya na kitu chochote lakini sio mkono wako ili isijekuharibika) ikishakuwa rojo basi utatumia kupaka mle kidogo kila usiku kwa wiki moja kutakuwa na joto na hamu itapatikana pia pendelea kunywa supu ya kuku ngombe pweza viazi mviringo mchuzi wake utaona vitu vikienda vizuri na ujizuie kabisa na vitu vya kuzuia mimba isiingie wala isipenye ndio chanzo cha matatizo yenu wanawake yote yanaanzia hapo hujiulizi kwanini wengine huhama bila sababu sababu zao ni kuwa kumepoa kwa bariiid na kuna harufu hivi vyote humpa mtu nafasi ya kuangalia penye joto pasipotoa harufu ikiwa kwako kunatoa harufu kwa sababu ya uchafu kutoka au harufu basi chukua pamba iloweshe miski nyeupe ya mafuta usiku iweke mlango mwa mle kisha asubuhi itoe utaikuta imevuta uchafu wote fanya mpaka uishe utarudisha ubora wako na utapendwa k**a awali hata yule msimamaji akishaisikia harufu hamu hupungua hivyo patengeneze hapo utafurahia mengi kwa huyo bwana atatoa pesa bila kuomba atanunua gari bila kusema nataka gari pambana mchawi wa kwanza kwa mwanaume ni uke wako wewe shangaa na hangaika na madawa tu anza hapo ndio uendelee na zile za kula.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA KUMUACHISHA MTU POMBE
Utachukua mavi ya kuku yafunge kwenye karatasi uliyoandika manuizo na jina la mnywaji pombe unayehitaji aache baada ya hapo kayafukie kwenye makaburi siku 3 tu baada ya hapo toa nenda kaichome iwe unga laini saga changanya vizuri baada ya hapo muwekee kwenye kinywaji chake ataaacha tu hii hatapiki wala haharishi ila tu ataona pombe sio nzuri k**a alivyozoea.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA MTU KUACHA UMALAYA
Utachukua damu ya kuku asiyeatamia hata apandwe vipi yeye hatagi ananenepa tu mchinje chukua damu yake changanya na nyayo zako sema sitaki awe hivi tena baada ya hapo choma vizuri pamoja kisha tia kwenye chakula au kinywaji chochote Cha moto.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA KUMFANYA MTU AWE MALAYA (Hii sielekezi sio nzuri) ila hii wanafanyiwa watu ambao amemuacha mumewe kisa tamaa au mkewe kisa tamaa basi akishafanyiwa hii atafanya usaliti mpaka atafukuzwa huko na atarudi tena kwako au ngoja nielekeze nimeona unaanza kulaumu chaguo ni lako utachukua jina la mhusika changanya na damu ya kicheche kisha iweke njiapanda usiku asubuhi ukiamka ichukue iweke chini ikalie inuilie unavyotaka kisha chukua ichanganye na chakula chochote kinacholiwa na mbwa au paka kisha isomee neno hili ZAMZUMAA x313 baada ya hapo nenda kaiweke kwenye pembe ya nyumba yoyote kwa nje italiwa na itamfikia mhusika na atakuwa hivyo hivyo mpaka ataacha tu.
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567
DAWA YA KUPOTEZA UHAMISHO AU KUUZIMA AU KUUFUTA
Utachukua kinyonga chura na paka vyote hivi pata ngozi zao baada ya hapo andika jina lako choma vyote pamoja saga vizuri funga vizuri nenda kwenye sehemu iliyotulia viweke kwenye chupa kisha kazike kwenye eneo hilo hawatakuhamisha na kila wakiongelea watajikuta tu wanamuona mtu mwingine lakini sio wewe na hutohamishwa katu hii pia ni Kinga dhidi ya maadui zako watakupa heshima kubwa hawatakusumbua katu.
DAWA YA KUMUONA YOYOTE NDOTONI
Utachukua mayai ya chatu mawili yafungwe kwenye kitambaa cha bluu kisha chukua karatasi andika unachotaka kukiona kisha itandike chini weka yale mayai juu ya hiyo karatasi kisha weka uvunguni mwako ikiwa unalala kitandani na ikiwa unalala kwenye kitu weka chini ya kitu na ikiwa unalala chini basi weka usawa wa karibu na kichwa utaletewa sikushauri Sana useme nataka kumuonamchawi wangu angalau omba kuuliza nani ananifaa kwa mafanikio yangu au kipi nifanye nifanikiwe n.k mazuri mazuri tu utaona vyote.
Kwa matatizo yoyote makubwa na madogo usisite kuwasiliana na:-
Maalim Jawzatulhindiiy Tamr
+255 653 663 567