k4ssecurity

k4ssecurity Your Trusted Security Partners

10/07/2026
๐ŸŽถ๐Ÿ›ก๏ธ Leo K4S Security tunaendelea kutekeleza wajibu wetu wa kuhakikisha usalama na utulivu katika maadhimisho ya miaka 30...
10/07/2026

๐ŸŽถ๐Ÿ›ก๏ธ Leo K4S Security tunaendelea kutekeleza wajibu wetu wa kuhakikisha usalama na utulivu katika maadhimisho ya miaka 30 ya Bongo Flava ( ). Tunajivunia kuwa sehemu ya tukio hili kubwa linalosherehekea historia, mafanikio na mchango wa muziki wa Tanzania, huku tukihakikisha wasanii, wageni na wadau wote wanafurahia tukio hili katika mazingira salama na yenye amani. Usalama ni kipaumbele chetu, ubora ni ahadi yetu. ๐Ÿ”๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

BongoFlava30Years

K4S Security tunajivunia kuwa sehemu ya Mechi ya Hisani ya Samakiba Foundation 2026, tukitoa huduma za ulinzi na kuunga ...
07/07/2026

K4S Security tunajivunia kuwa sehemu ya Mechi ya Hisani ya Samakiba Foundation 2026, tukitoa huduma za ulinzi na kuunga mkono tukio hili k**a wadhamini.

K4S Security โ€“ Usalama Wetu, Amani Yako.

K4S Security tunajivunia kushiriki katika kutoa ulinzi na pia kuwa wadhamini wa Mechi ya Hisani ya Samakiba Foundation 2...
07/07/2026

K4S Security tunajivunia kushiriki katika kutoa ulinzi na pia kuwa wadhamini wa Mechi ya Hisani ya Samakiba Foundation 2026. Tumeendelea kuhakikisha usalama wa washiriki na wageni huku tukichangia mafanikio ya tukio hili lenye lengo la kuleta matumaini na kugusa maisha ya wengi.

K4S Security โ€“ Kulinda Kila Hatua.

Heri ya Siku ya Saba Saba! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟK4S Security tunawatakia maonesho yenye mafanikio na safari salama kwa wote. Asanteni kwa k...
07/07/2026

Heri ya Siku ya Saba Saba! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

K4S Security tunawatakia maonesho yenye mafanikio na safari salama kwa wote. Asanteni kwa kuendelea kutuamini.

K4S Security โ€“ Usalama Wako, Kipaumbele Chetu.

06/07/2026

Simba Sports Club

Pongezi kwa K4S Security kwa kazi nzuri ya kusimamia ulinzi wa parade kubwa nchini.
05/07/2026

Pongezi kwa K4S Security kwa kazi nzuri ya kusimamia ulinzi wa parade kubwa nchini.

Address

Taito Street , Kiko Avenue, Mikocheni A
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 14:00

Telephone

+255752737616

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when k4ssecurity posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share