Ongeza Maarifa

Ongeza Maarifa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ongeza Maarifa, Business consultant, Dar es Salaam.

Ikiwa kweli lengo lako ni kuhakikisha biashara yako inaenda basi kubali kufanya vitu vitakavyo leta maendeleo kwenye bia...
21/05/2021

Ikiwa kweli lengo lako ni kuhakikisha biashara yako inaenda basi kubali kufanya vitu vitakavyo leta maendeleo kwenye biashara yako


Comment hapo chini unafanya nini?
19/05/2021

Comment hapo chini unafanya nini?



Mteja siku zote huwa anahitaji kusikilizwa na huwa anajua kwamba unamsikiliza au lah Sasa usifanye makosa hapa kwani sio...
18/05/2021

Mteja siku zote huwa anahitaji kusikilizwa na huwa anajua kwamba unamsikiliza au lah
Sasa usifanye makosa hapa kwani sio wewe peke yako unayeuza hiyo bidhaa au unayetoa huduma

Ukisha kosea hapa tu kwenye mawasiliano jua huwezi kufanya biashara tena jitahidi kumsikiliza mteja wako na ujue anataka nini toka kwako

Tunatoa mafunzo ya uendeshaji wa biashara katika mitandao ya kijamii hasa hasa facebook,Instagram na WhatsApp

Wasiliana nami kwa namba
0748681830

Tupo Dar es salaama



Wafanyabiashara wengi tumekuwa tukiangahika kutafuta kila siku wateja wapya kwasababu tumeshindwa kuwatunza wateja wa za...
17/05/2021

Wafanyabiashara wengi tumekuwa tukiangahika kutafuta kila siku wateja wapya kwasababu tumeshindwa kuwatunza wateja wa zamani

Na kupata wateja wapya itakuhitaji utumie gharama kuweza kuwapata

Hivyo je wateja wako huwa unawatunza wapi? Hili ni swali la msingi kwa mfanyabiashara yoyote yule

 inawatakia watu wote Eid Mubaraka
14/05/2021

inawatakia watu wote Eid Mubaraka

K**a mfanyabiashara yakupasa kutokukata tamaa pia jaribu kufanya hicho kitu kila siku ndio kufikia mafanikio ya biashara...
14/05/2021

K**a mfanyabiashara yakupasa kutokukata tamaa pia jaribu kufanya hicho kitu kila siku ndio kufikia mafanikio ya biashara yako



Tengeneza jina lako BRAND yako ambayo haitasahauliki masikioni na machoni pa watu                                       ...
12/05/2021

Tengeneza jina lako BRAND yako ambayo haitasahauliki masikioni na machoni pa watu



@

Kwenye Maisha bhana kuna mambo makubwa mawili♦ Kupambana pamoja na changamoto ziwe kubwa kiasi gani ili nifikie ndoto ya...
11/05/2021

Kwenye Maisha bhana kuna mambo makubwa mawili

♦ Kupambana pamoja na changamoto ziwe kubwa kiasi gani ili nifikie ndoto yangu au nifike nilikokuwa nataka nifike

AU

♦ Kuamua kukata tamaa,ili kukosa kile nilichotarajia kukipata

Ipo hivi watu tunaofanya biashara mtandaoni tunahitaji uvumilivu sana kuweza kupata wateja wa kutosha hivyo mwenye maamuzi ni wewe kwamba upambane mpaka mwisho au kukata tamaa kabla ya kufika ulikokuwa unataka kufika

Usipost mara moja au ndani ya wiki moja ukaona hupati matokeo halafu ukakata tamaa fanya vitu kwa kujirudia rudia bila kukata tamaa

Hayo yalikuwa mawazo yangu

Zingatia mambo hayo kuweza kukua katika biashara yako
10/05/2021

Zingatia mambo hayo kuweza kukua katika biashara yako



Ili kuweza kuwa imara na kufanya mauzo kwanza lazima ubadili mtazamo wako juu ya   unayoifanya Usione kuwa biashara yako...
10/05/2021

Ili kuweza kuwa imara na kufanya mauzo kwanza lazima ubadili mtazamo wako juu ya unayoifanya

Usione kuwa biashara yako ni ndogo kipo kitu unachoweza kukifanya na ikawa kubwa

1. Kuwa mbunifu
2. Fanya kutoka moyoni/kipende unachofanya
3. Fanya mara kwa mara kwa kujirudia hata k**a huoni matokeo sasa

Jifunze kuendesha biashara yako katika mifumo tofauti tofauti usibake na mtazamo mmoja ndio mwanzo wa kushindwa



Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ongeza Maarifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ongeza Maarifa:

Share