Akili100 Training and Consultancy

Akili100 Training and Consultancy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Akili100 Training and Consultancy, Business consultant, Dar es Salaam.

18/09/2024


̈gumball

# businessmanagement

Women are especially created by God to bring taste and vibe to the world. They are equipped with the the power of creati...
08/03/2024

Women are especially created by God to bring taste and vibe to the world. They are equipped with the the power of creation of human being in this world. But also have multitasking skills to solve challenges around theie environment.

I take this chance to wish all women the best on this day, Happy Women's Day all Ladoes out there.





Kwa wanawake wote wa nguvu. Siku hii ya Wanawake na iwe ukumbusho wa thamani yako na ushawishi mkubwa ulio nao kwa Tanza...
08/03/2024

Kwa wanawake wote wa nguvu. Siku hii ya Wanawake na iwe ukumbusho wa thamani yako na ushawishi mkubwa ulio nao kwa Tanzania, Dunia na Ulimwengu mzima

HAPPY WOMEN'S DAY









Training session ya Akili100   na Blessed Mamas Group  . Foster Ngumba CEO wa Akili100 akitoa Mafunzo   ya -Uongozi na U...
06/06/2023

Training session ya Akili100 na Blessed Mamas Group .

Foster Ngumba CEO wa Akili100 akitoa Mafunzo ya
-Uongozi na Usimamizi ,
-Kujiandaa kukopa ,
-Huduma bora kwa wateja and
-Kutunza muda

Lengo ni kuwajengea uwezo wa kufanya ujasiriamali kwa ujasiri werevu na kuongeza kipato chao

Akili100 tunakupa wewe mjasiriamali uwezo wa kuendesha biashara yako bila matatizo.Dira yetu ni:Tunakujengea uwezo wa ku...
26/04/2023

Akili100 tunakupa wewe mjasiriamali uwezo wa kuendesha biashara yako bila matatizo.

Dira yetu ni:
Tunakujengea uwezo wa kuzishinda changamoto za kibiashara kwa kupata ushauri na mafunzo ya namna bora ya kuendesha biashaara

Je unataka kuanza biashara?
Je biashara yako ni ndogo?
Je biashara yako haikui?
Je unashindwa kuwa na nidhamu na pesa unazopata?
Je hupati wateja?

Tupo kwa ajili yako, toa jibu lako kwenye comment. au wasiliana nasi kwa simu zilizopo hapo juu







Akili100 tunafundisha program za Uongozi na Usimamizi (Leadership & Management) kwa wajasiriamali na makampuni binafsi, ...
19/04/2023

Akili100 tunafundisha program za Uongozi na Usimamizi (Leadership & Management) kwa wajasiriamali na makampuni binafsi, lakini pia vikundi na NGOs.

Tunapofundisha uongozi tunalenga washiriki :-
* Kujua maana ya kiongozi na msimamizi
* Kutafakari aina zabuongozi na usimamizi
* Kuwa kiongozi bora
Na mengine mengi

Pia tunafundisha masomo mengine mengi ya soft skills.

K**a unataka kujua zaidi kuhusu program yetu hii, tuandikie kwenye comment au WhatsApp.

Je, una swali unataka tukujibu? Weka kwa comment










Akili100 tunajihusisha na mafunzo na ushauri wa usimamizi wa biashara yaanni Business  Management consultancy and traini...
11/04/2023

Akili100 tunajihusisha na mafunzo na ushauri wa usimamizi wa biashara yaanni Business Management consultancy and training.

Pia tunatengeneza matangazo ya madogomadogo ya mitandaoni. Graphic designs


Picha ya pamoja ya wawezeshaji na viongozi baada ya mafunzo ya Uongozi na Usimamizi   and  , pamoja na Uimbaji Wenye Mgu...
06/04/2023

Picha ya pamoja ya wawezeshaji na viongozi baada ya mafunzo ya Uongozi na Usimamizi and , pamoja na Uimbaji Wenye Mguso.

Hii ilifanyika KKKT usharika wa Boko, wakati Mkurugenzi wa aliaminiwa kwenye nyanja ya Uongozi na Mkurugenzi wa Stemo Security aliaminiwa kwenye Uimbaji wenye Mguso.

Je, unataka kujua zaidi kuhusu hizo program? au unataka kujua wanafundisha nini kingine? au k**a una swali lolote?

Tuulize kwenye comment au DM







CEO wa Akili100 Training and Consultancy bi Foster Ngumba, akisisitiza jambo wakati wa   ya   na   yalliyofanyika KKKT U...
05/04/2023

CEO wa Akili100 Training and Consultancy bi Foster Ngumba, akisisitiza jambo wakati wa ya na yalliyofanyika KKKT Usharika wa Bunju Dar es salaam.

Mafunzo ya Leadership na management yanatolewa kwa kundi lolote au kampuni au taasisi yoyote.

Karibu na wewe kwa ajili ya mafunzo na ushauri wa usimamizi wa biashara.

Je unataka kujua aina zingine za mafunzo yanayotolewa na Akili100?

Tuulize kwenye comment au ingia kwa link yetu utuulize inbox
https://l.instagram.com/...







Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Akili100 Training and Consultancy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Akili100 Training and Consultancy:

Share