ADM Agriproducts

ADM Agriproducts Tanzania's NUMBER ONE Farm Produce Supplier..��� Tanzania's NUMBER ONE Farm Produce Supplier .. ���

Tunawatakia sherehe njema za sikukuu ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
12/01/2026

Tunawatakia sherehe njema za sikukuu ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar.

New year. Renewed focus. Continued commitment to delivering value. Happy New Year 2026.
31/12/2025

New year. Renewed focus. Continued commitment to delivering value. Happy New Year 2026.

  🎄🎅🏾Krismasi njema kwa wateja na wadau wetu wote! 🎄 inawatakia sikukuu zenye afya, furaha na shukrani—tukiwa karibu nan...
24/12/2025

🎄🎅🏾

Krismasi njema kwa wateja na wadau wetu wote! 🎄

inawatakia sikukuu zenye afya, furaha na shukrani—tukiwa karibu nanyi na maziwa safi, mayai bora na mbogamboga zenye ubora mezani.

Asanteni kwa kuendelea kutuamini tuendelee kukuza maisha yenye lishe na ustawi.

 Tunawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Uhuru.Uhuru wa kweli ni kujitegemea katika chakula, tuendelee kufanya ka...
08/12/2025

Tunawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Uhuru.

Uhuru wa kweli ni kujitegemea katika chakula, tuendelee kufanya kazi kwa bidii ya kuzalisha chakula cha kutosha nchini🇹🇿



🐄🥛🐓🥚🥬🌾🍚🌽

Je, unahitaji MCHELE WA UHAKIKA kwa matumizi ya nyumbani au biashara? 🍚Usihangaike tena kutafuta!  tunakuletea mchele sa...
21/10/2025

Je, unahitaji MCHELE WA UHAKIKA kwa matumizi ya nyumbani au biashara? 🍚

Usihangaike tena kutafuta! tunakuletea mchele safi kutoka mashamba bora ya Mbeya — wenye ubora wa hali ya juu na bei rafiki kwa kila mfuko.

Tunajivunia huduma bora, mizani ya haki na usafiri wa uhakika 🚚
Wasiliana nasi leo ujihakikishie mchele wa bei nafuu, ubora wa kudumu na huduma ya kuaminika.

– Ubora unaoonekana, bei unayoipenda! 🤝🏿

Wauzaji pia wa: Maziwa🥛 | Mbogamboga🥬 | Mayai🥚 | Kuku wa Kienyeji🐓

ADM Agriproducts 🇹🇿Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — kiongozi aliyejenga misingi ya umo...
14/10/2025

ADM Agriproducts 🇹🇿

Leo tunamkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere — kiongozi aliyejenga misingi ya umoja, kazi, na uzalendo.

, tunaenzi fikra zake kwa kufanya kazi kwa bidii na kuendeleza kilimo cha kujitegemea.

🌾🌽🥛🥬🥚


    Everybody at  is committed to provide you with the best of the best when it comes to agri products!              🥛🥚🥬
06/10/2025



Everybody at is committed to provide you with the best of the best when it comes to agri products!



🥛🥚🥬

Kwa TZS 2,200 na TZS 2,000 tu, unajipatia LITA ya MAZIWA MTINDI na MAZIWA FRESH.KUTOKA SHAMBANI MOJA KWA MOJA, ONJA UTAM...
17/09/2025

Kwa TZS 2,200 na TZS 2,000 tu, unajipatia LITA ya MAZIWA MTINDI na MAZIWA FRESH.

KUTOKA SHAMBANI MOJA KWA MOJA, ONJA UTAMU HALISI WA MAZIWA 🐮🥛😀

Karibuni sana na Karibuni Wote.

📍Mbezi Tangi Bovu (Dar es Salaam)

📞+255 786 478 576 (Piga Simu)

📱0713 785 985 (WhatsApp)

Weekend ndo hiyoooo…. Hakikisha una maziwa kwenye mlo wako chap!
22/08/2025

Weekend ndo hiyoooo…. Hakikisha una maziwa kwenye mlo wako chap!

🧑‍🌾🐄🌾🥛🥚🐓
08/08/2025

🧑‍🌾🐄🌾🥛🥚🐓

Coming Soon...
29/07/2025

Coming Soon...

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00
Saturday 07:00 - 18:00

Telephone

+255713785985

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ADM Agriproducts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share