brela_tanzania

brela_tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from brela_tanzania, Business service, Dar es Salaam.

03/01/2020
KUONGEZWA KWA MUDA WA KUHUISHA TAARIFA ZA MAKAMPUNI NA MAJINA YA BIASHARA
03/01/2020

KUONGEZWA KWA MUDA WA KUHUISHA TAARIFA ZA MAKAMPUNI NA MAJINA YA BIASHARA

Asante kwa kutumia huduma zetu kwa mwaka 2019. Tunakutakia Wewe na Familia Yako Heri ya Mwaka Mpya 2020!
01/01/2020

Asante kwa kutumia huduma zetu kwa mwaka 2019. Tunakutakia Wewe na Familia Yako Heri ya Mwaka Mpya 2020!

WAFANYABIASHARA WAASWA KULINDA NEMBO ZAO ZA BIASHARABIASHARAWAFANYABIASHARA WAASWA KULINDA NEMBO ZAO ZA BIASHARAWafanyab...
22/12/2019

WAFANYABIASHARA WAASWA KULINDA NEMBO ZAO ZA BIASHARA
BIASHARA
WAFANYABIASHARA WAASWA KULINDA NEMBO ZAO ZA BIASHARA

Wafanyabiashara na wajasiriamali wametakiwa kulinda/kuwa na nembo za bidhaa ili kuweza kuingia kwenye soko la ushindani pasipokuwa na changamoto zisizo za lazima.

Akizungumza katika kongamano la kiuchumi la wanawake wa Mkoa wa Arusha lililofanyika jijini Arusha Msaidizi wa Usajili Mkuu Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw.Lumambo Shiwala amesema kuwa wafanyabiashara na ambao wanataka kupata fursa anawahimiza kusajili ili kulinda alamazao za biashara maana asije akapoteza juhudi zake zote katika kuandaa biashara yake.

“Hata k**a unatengeneza sabuni ama kitu chochote hakikisha utambulisho au nembo umeilinda kisheria na taasisi inayoshughulikia na kulinda kisheria biashara au nembo ni BRELA”. Amesema Bw.Shiwala.

Aidha Bw.Shiwala amesema kuwa mahitaji ya kusajili jina la biashara kwa sasa hivi ni kitambulisho chako cha taifa peke yake.

“Mfanyabiashara au mjasiriamali ambaye atatakiwa kuingia kwenye ushindani atatakiwa kuwa na jina lake pekee ili kusudi kulitambulisha kwa wateja wake kwahiyo msiingie kwenye biashara bila kulisajili jina lako maana anaweza kulichukua mtu mwingine na kulisajili na kuwa mali yake”. Amesema Bw. Shiwala. @ Dar es Salaam, Tanzania

Jina la Biashara husaidia kuitangaza biashara kwa urahisi pia huwafanya wateja walengwa kuikumbuka biashara yako. Tembel...
20/12/2019

Jina la Biashara husaidia kuitangaza biashara kwa urahisi pia huwafanya wateja walengwa kuikumbuka biashara yako. Tembelea sasa tovuti yetu www.brela.go.tz, kusajili Jina la Biashara yako kwa gharama ya Sh. 20,000/- tu.

18/12/2019

Ushuhuda wa Mdau kuhusu huduma zitolewazo na kwa njia ya mtandao (ORS).

18/12/2019

17/12/2019

.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when brela_tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share