19/05/2022
Unaweza fanya biashara yako kisasa zaidi kwa kuwa na system ya kuongoza biashara yako kwenye mauzo , manunuzi , stocks n.k
Hauhitaji kununua mfumo huu ili kuanza kutumia , unachohitaji ni computer(au tablet) yenye internet tuu basi.Tunatengeneza kampuni/ofisi yako ndani ya mfumo huu na kukuwezesha kutoa Quotations , Invoices, Purchase Orders , kuona wateja unaowadai na balance zao au bidhaa zako unazouza n.k
Malipo yake ni kwa mwezi tsh 80,000/=. Utatumia na kuona kila.kitu ukiwa popote sababu huu mfumo uko online , na k**a.biashara yako ina branches basi kila branch wanaweza tumia mfumo huuhuu mmoja bila kujali kuna wafanyakazi wangapi, kwani huu mfumo una support idadi ya watumiaji bila kikomo.
Unapokua na mfumo huu ni rahisi sana kujua financial.position ya biashara yako on real time , lakini pia unakua na uwezo wa kutoa reports zote zinazohitajika na TRA au kupeleka kwenye ma banks kwa ajili ya mikopo n.k bila kuanza kuziandaa upya manually.
Haijalishi ni biashara ndogo kiasi gani hata k**a ni kufuga kuku unahitaji kujua matumizi na faida kwenye biashara yako ili ikue ,,( keeping up with numbers)
Tupigie kusajili biashara yako au kampuni yako kwenye mfumo huu na uanze kutumia mara moja bila.kuchelewa.
Piga 0655 894116 kwa maelezo zaidi au kusajili biashara yako kwenye mfumo huu