georgiamdota2013

georgiamdota2013 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from georgiamdota2013, Business service, Dar es Salaam.

18/05/2026

# 💪
AbsaDarCtyMarathon2026

Yeremia 17:7-8[7]Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake. [8]Maana atakuwa k**a mti uliop...
10/02/2026

Yeremia 17:7-8
[7]Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA,
Ambaye BWANA ni tumaini lake.
[8]Maana atakuwa k**a mti uliopandwa kando ya maji,
Uenezao mizizi yake karibu na mto;
Hautaona hofu wakati wa hari ujapo,
Bali jani lake litakuwa bichi;
Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua,
Wala hautaacha kuzaa matunda.

Mithali 3:30[30]Usishindane na mtu bila sababu, Ikiwa hakukudhuru kwa lo lote.
27/11/2024

Mithali 3:30
[30]Usishindane na mtu bila sababu,
Ikiwa hakukudhuru kwa lo lote.

Isaya 40:4-5[4]Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipopa...
11/10/2024

Isaya 40:4-5
[4]Kila bonde litainuliwa,
Na kila mlima na kilima kitashushwa;
Palipopotoka patakuwa pamenyoka,
Na palipoparuza patasawazishwa;
[5]Na utukufu wa BWANA utafunuliwa,
Na wote wenye mwili watauona pamoja;
Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.

True forgiveness is when you can say, 'Thank you for the experience.'"Dressed by
06/05/2024

True forgiveness is when you can say, 'Thank you for the experience.'"
Dressed by

Yeremia 1:5,Georgia Mdota[5]Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka...
30/04/2023

Yeremia 1:5,
Georgia Mdota
[5]Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

HAPPY BIRTHDAY TO ME, dada G

30/04/2023
Mithali 4:10-12Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi.Nimekufundisha katika...
17/08/2021

Mithali 4:10-12
Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu;
Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi.
Nimekufundisha katika njia ya hekima;
Nimekuongoza katika mapito ya unyofu.
]Uendapo, hatua zako hazitadhiikika,
Wala ukipiga mbio hutajikwaa.

Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua🙌
22/09/2019

Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua🙌

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255654762146

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when georgiamdota2013 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to georgiamdota2013:

Share