Tangaza hapa biashara

Tangaza hapa biashara Tunatangaza biashara aina zote hapa na matangazo mbalimbali.

02/01/2021

Habari watanzania ukurasa huu ni mahususi kwa kutangaza bidhaa mbalimbali zinazo uzwa k**a magari..simu,nyumba, viwanja,kutangaziwa biashara yako N.K
Faida ya kutangaza bidhaa yako hapa nimoja tena kubwa kuepuka kuuziwa kitu kwa bei ghari ikiwa muuzaji bei yake rasmi ni bei ya chini pili wewe mwenye mali kuuza mali yako kwa uhalali maana bidhaa yako itatangazwa kwa bei harisi unayo uza na utaunganishwa na wateja moja kwa moja kwakuwa tangazo litawekwa namba zako mwenyewe nasio za dalali hivyo wewe utaongea na wanunuzi moja kwa moja na mtapangana bei wenyewe tutazidi kukutangazia bidhaa yako unayoiuza hata k**a muda ulio lipia umeisha tutazidi kukutangazia ili kesho na kesho kutwa urudi kutuletea kazi..
Ndugu mtanzania share post hii katika magroup mbalimbali ili ukurasa huu uweze kupata likes ili uweze kupata wafuatiliaji wengi zaidi.
K**a utataka kutangaziwa bidhaa yako yoyote ile..

whatsap 0625850491.
Call 0676133533.

22/09/2020
Like page hii na share katika magroup yako napia kutangaziwa biashara yako kwa wiki nzima ni 10000 TU.
06/08/2020

Like page hii na share katika magroup yako napia kutangaziwa biashara yako kwa wiki nzima ni 10000 TU.

Mabaharia mje mtueleze nini wamemaanisha hapa...
29/12/2019

Mabaharia mje mtueleze nini wamemaanisha hapa...

Hatua ya mtoano UEFA...nani atatoka nani atabaki..?
16/12/2019

Hatua ya mtoano UEFA...nani atatoka nani atabaki..?

Jamaa alikaa katika hali ya coma kwa miaka 12 alipokuja kuamka alisema alikuwa akisikiliza kila kitu hata mama yake alip...
16/12/2019

Jamaa alikaa katika hali ya coma kwa miaka 12 alipokuja kuamka alisema alikuwa akisikiliza kila kitu hata mama yake alipo kata tamaa na kusema ""sibora afe tu""

JE wajua ukiwa spain unaliona bara la africa...?
15/12/2019

JE wajua ukiwa spain unaliona bara la africa...?

Hii imekaaje mabaharia...?
14/12/2019

Hii imekaaje mabaharia...?

MWANAMKE ANA ROHO NGUMU SANA:Hivi unajua unaweza ukawa upo vitani lakini girlfriend wako akakufuata hukohuko kuja kukuul...
14/12/2019

MWANAMKE ANA ROHO NGUMU SANA:

Hivi unajua unaweza ukawa upo vitani lakini girlfriend wako akakufuata hukohuko kuja kukuuliza kuwa monica ni nani..?

JE unajua ukimuuwa muuwaji idadi ya wauwaji inabaki palepale..?
14/12/2019

JE unajua ukimuuwa muuwaji idadi ya wauwaji inabaki palepale..?

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255625850491

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tangaza hapa biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tangaza hapa biashara:

Share