Nyarugusu MACHO Kwenye Mabango

Nyarugusu MACHO Kwenye Mabango Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nyarugusu MACHO Kwenye Mabango, Business service, Kigoma, Dar es Salaam.

SEMINA NA MUHIMU 🙏🇺🇸
05/01/2024

SEMINA NA MUHIMU 🙏🇺🇸

Macho kwenye mabango : SEMINA NA MUHIMU
05/01/2024

Macho kwenye mabango : SEMINA NA MUHIMU

08/07/2023

NIMECHEKA MPAKA NIMEBAKI HOIIIIIII😂😂😂

MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI.1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua nakikohozi.2. Majani ya mpera yaliyos...
14/06/2023

MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI.
1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na
kikohozi.
2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri
yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio
(allergy).
3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa
k**a chai yanaondoa cholesterol iliyozidi
mwilini.
4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango
cha tatizo la sukari mwilini.
5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye
matatizo ya nguvu za kiume.
6. Pia inatumika k**a scrub ya uso.
Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi
na inasaidia kuondoa uchafu usoni.
7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa
ya kuponyesha tumbo la kuhara.
8. K**a umejikata kidogo unaweza kutumia
majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri
kwa kupunguza maumivu na kukulinda na
maambukizi ya bakteria.
9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri
yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na
mdudu na kupunguza maumivu.
10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina
uwezo wa kutibu tezi dume.
11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi
majani ya mpera yana uwezo mkubwa wa kutibu
chunusi.
12. Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza
uzito mwilini na kuzuia uharibifu sukari ndani ya
mwilini.
13. Majani ya mpera yanajaza nywele na
kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la
kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha
kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka
chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya
nywele zako.
14. Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi,
maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera
na utaona maajabu ya majani haya.
15. Chukua majani ya mpera saga vizuri mpaka
yawe laini kabisa ongeza na maji kidogo kisha
tumia kupaka usoni k**a scrub inatibu ngozi
inayoanza kuzeeka mapema.
16. Chai ya mpera inasaidia kwa kutibu
mvurugiko wa tumbo.
Pamoja na majani hayo kuwa msaada wa kutibu
maradhi mbalimbali , halikadhalika juisi ya
mapera nayo husaidia sana kutibu mgolo au
bawasiri, figo na hata kuondoa mafuta katika
moyo.
Kimsingi mti wa mpera karibu kila sehemu yake
ni tiba kwani hata mizizi yake inapochemshwa na
kutumia kwa kunywa huenda kuwasaidia
wanawake wenye matatizo ya hedhi au wenye
matatizo ya kutokwa na maji yenye harufu
mbaya sehemu zao za siri.
AHSANTENI SANA……………
Usiache ku-SHARE na wengine wapate elimu hii.

wote mlio share na mnaondelea ku
Imeandaliwa na captain Msema Kweli

14/06/2023

NEW GOOD GAME 🔥👍

Safari, migration,Rsc, Vipimo
09/06/2023

Safari, migration,Rsc, Vipimo

RSC, Safari, Migrations, Vipimo
01/06/2023

RSC, Safari, Migrations, Vipimo

31/05/2023

Wanawake acheni Tabia yakuanika nguo zenu za ndani nje.

26/05/2023

Tarehe 27. 05. 2023 Kitu kipo YouTube

Watu Wa Safari
25/05/2023

Watu Wa Safari

MACHO Kwenye Mabango Nyarugusu
11/03/2023

MACHO Kwenye Mabango Nyarugusu

Address

Kigoma
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nyarugusu MACHO Kwenye Mabango posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share