women_straight_talk

women_straight_talk Transformational Coach & Business Trainer
Helped 1000+ people kick-start their businesses
On a mission to build 100 Millionaires
Call for mentorship

13/08/2026

Uwezo wa mwanamke upo katika nguvu 6 alizonazo. Na akizitumia vizuri ni rahisi mno kufanikiwa…
#255768498163

12/08/2026

Maneno hayaui…
Yanakujenga na kukuimarisha. Piga simu kuweka nafasi yako ya kujifunza biashara

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
#255768498163

11/08/2026
10/08/2026

Usidharau mambo madogo madogo unayofanya leo. Hayo ndio huwa yanafanya mambo makubwa kutokea

See you at the top

10/08/2026

Kuna muda Una feli kufanya maamuzi kwa sababu ya moyo kupenda na kushindwa kuamua.
Unahisi ukiamua jambo fulani la maisha yako kuna watu utawaumiza na hapo ndipo watu wengi wanakosea na kujikuta wametumia muda mwingi kwa watu ambao sio au kwenye vitu ambavyo sivyo.

Sasa ni muda wa kuamua kile macho yako na akili yako imeona na sio kile ambacho moyo wako umehisi.

See you at the top…

MAAMUZI YAKO YA SASA NI FURAHA YAKO YA KESHOKuna muda Una feli kufanya maamuzi kwa sababu ya moyo kupenda na kushindwa k...
10/08/2026

MAAMUZI YAKO YA SASA NI FURAHA YAKO YA KESHO

Kuna muda Una feli kufanya maamuzi kwa sababu ya moyo kupenda na kushindwa kuamua.
Unahisi ukiamua jambo fulani la maisha yako kuna watu utawaumiza na hapo ndipo watu wengi wanakosea na kujikuta wametumia muda mwingi kwa watu ambao sio au kwenye vitu ambavyo sivyo.

Sasa ni muda wa kuamua kile macho yako na akili yako imeona na sio kile ambacho moyo wako umehisi.

See you at the top…

09/08/2026

Good nyt!!! Kuna siku nitafanya semina kubwa sana haijawahi kutokea ya wanawake wafanyabiashara na MB DOGG atakuja kutuburudisha 😂😂😂 niitieni basi aje 😂 MB DOGG

09/08/2026

Tupate Matangazo ya wadhamini kidogo

08/08/2026

Watu ambao Nina wafahamu wamebadili maisha yao na kuwa mazuri kwa kutumia njia hii…

08/08/2026

See you at the top

#255768498163

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when women_straight_talk posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to women_straight_talk:

Shortcuts

Share