FURSA Engine

FURSA Engine Jinsi ya kutengeneza ujuzi utakao kuingizia pesa bila kuathiri shuguli zako za kila siku...!

“Makosa ni ushahidi kwamba unajaribu.”Yaani, ukifanya makosa haimaanishi umeshindwa — inaonyesha kuwa umechukua hatua na...
03/03/2026

“Makosa ni ushahidi kwamba unajaribu.”

Yaani, ukifanya makosa haimaanishi umeshindwa — inaonyesha kuwa umechukua hatua na umejaribu kufanya kitu.

Mtu asiyefanya chochote ndiye hafanyi makosa.

👉 Usiogope kushindwa.
👉 Jifunze kutokana na makosa.
👉 Endelea kujaribu hadi ufanikiwe.

FURSA Engine

*Big start...**Big Thanks...**Big Respect...**Big Apologize...**Big Movement...* Kheri ya Mwaka mpya
01/01/2026

*Big start...*
*Big Thanks...*
*Big Respect...*
*Big Apologize...*
*Big Movement...*

Kheri ya Mwaka mpya

happy new year 🎉
01/01/2026

happy new year 🎉

    and Be
20/05/2025

and Be

...VIJANA WENGI TUNA STRESS KWA SASA..1.UMRI UNAENDA2.MALENGO HAYATIMII3.MAJUKUMU NI MENGI NA KIPATO KIDOGO4.PRESSURE ZA...
02/12/2024

...VIJANA WENGI TUNA STRESS KWA SASA..

1.UMRI UNAENDA

2.MALENGO HAYATIMII

3.MAJUKUMU NI MENGI NA KIPATO KIDOGO

4.PRESSURE ZA FAMILIA NYUMBANI

5.CHANGAMOTO ZA NDUGU WANAODHANI TUNAPASWA KUWASAIDIA

6.PRESHA NA MAUMIVU YA MAFANIKIO YA MARAFIKI NA WATU TUNAO FANANA NAO UMRI

7.MAFANIKIO YA MARAFIKI WA MTANDAONI TUNACHANGANYIKIWA SANA

8.TUNAFAHAMU STAGE HII INAHITAJI UVUMILIVU

9.UMAKINI HOFU YA MUNGU NA BIDII

10.TUMECHAGUA KUFANYA IBADA SUBRA TUKIAMINI IPO SIKU TUTATOBOA...🙏🙏🙏🙏...
FURSFURSA Engine

Ubongo wako ni Kompyuta ya JuuBoresha programu zake:VitabuPodikastiUzoefuLinda betri yake:Saa 8 za usingiziKuungana na a...
05/11/2024

Ubongo wako ni Kompyuta ya Juu

Boresha programu zake:

Vitabu

Podikasti

Uzoefu

Linda betri yake:

Saa 8 za usingizi

Kuungana na asili

Kupunguza matumizi ya dijitali

Safisha diski yake:

Tafakari

Andika kumbukumbu

Mazungumzo ya kujijenga
FURSA Engine

Usisahau wewe ni  ...!FURSA Engine
14/09/2024

Usisahau wewe ni ...!

FURSA Engine

**NINI CHA KUFANYA UNAPOFANYIWA KITU KIBAYA CHA KUKUUMIZA SANA!**Hata k**a umefanyiwa kitu kibaya namna gani basi hembu ...
26/08/2024

**NINI CHA KUFANYA UNAPOFANYIWA KITU KIBAYA CHA KUKUUMIZA SANA!**

Hata k**a umefanyiwa kitu kibaya namna gani basi hembu kaa tulia kwanza jifunze kufanya maamuzi baada ya hasira kuisha. Umemfumania mtu, umekuta meseji za mapenzi, mtu kakupigia simu kakutukana au baya lolote tulia kwanza na fanya mambo haya;

**(1) Jiambie wewe mwenyewe tulia;** Taja jina lako, jiambie “Iddi nyamaza, Iddi usifanye hivi, hembu tulia kwanza, usipaniki, usipaniki, sio mwisho wa maisha usipaniki, narudia acha kupaniki Iddi tulia kidogo.”

**(2) K**a kuna uwezekano ondoka eneo la tukio;** Mko chumbani umeona meseji, toka nje, tembeatembea, hata nenda jikoni kwanza, toka nje zunguka zunguka kwenye korido. K**a kuna uwezekano ondoka hapo nenda hata mjini kidogo. Fanya hata vimazoeazi flani kukimbia hivyo!

**(4) Ielekeze akili yako kwenye mambo mazuri;** Funga macho yako, anza kuwaza kuhusu kitu kizuri, mfano, unawapenda wanao, waza unacheza nao, waza siku ulipojifungua au mwanaume ulipomshika mwanao kwa mara ya kwanza. Unapenda club waza k**a upo club, akili yako uelekeze kwenye mambo mazuri.

**(5) Anza kuhesabu mpaka kumi, wakati mwingine hata mpaka 100;** K**a unajiona unataka kufanya mambo mabaya, unataka kujibu meseji ya matusi, unataka kumpigia umtukane, anza kuhesabu, hesabu na rudia kuhesabu ili kichwa kitulie.

**(6) Jimwagie maji ya baridi usoni** au nenda kuoga kabisa, oga taratibu sana huku ukiwaza mambo mazuri, ukifikiria faida na hasara za maamuzi yako, ukifikiria vitu vya kukupa furaha.

**(7) Pumua taratibu mara kumi,** vuta hewa ndani taratibu huku ukiitoa taratibu kupitia pua na mdomo.

**(8) mpigie simu mtu wako wa karibu kuongea** kuhusu kitu kingine tofauti kabisa na chicho; Una hasira si wakati wa kutangaza matatizo yako sana, hivyo mpigie simu mtu wako wa karibu, rafiki na ongelea kitu kingine, iondoe akili yako kwenye kile na k**a ni msiri wako sana anajua mambo yako mengi unaweza kumuambia baada ya kupima madharaa yake.

**(9) Andika yale mambo mabaya,** hasira zako, andika maumivu yako kisha choma moto zile karatasi. Ondoa mawazo hasi kichwani chako na ya badilishe kuweka mambo chanya, kabla ya kuongea na mhusika hakikisha kuwa kichwa chako kishapoa vizuri...
FURSA Engine

BE PATIENT…KEEP GOINGFURSA Engine
22/08/2024

BE PATIENT…KEEP GOING
FURSA Engine

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FURSA Engine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FURSA Engine:

Share