Adacha business man

Adacha business man Uza na kununua bizaa humu ila matusi hakuna

31/03/2020

“Ninasikitika kutangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona Tanzania kilichotokea alfajiri ya leo March 31, ktk kituo cha matibabu ya wagonjwa wa corona kilichopo Mloganzila DSM, Marehemu ni Mtanzania, Mwanaume mwenye miaka 49, alikuwa pia akisumbuliwa na maradhi mengine”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu

Yan hatar huu ugonjwa mpaka mda huu wafikia (6) sitaEeeeeeh ya~allah tunusuru na huu ugonjwa
19/03/2020

Yan hatar huu ugonjwa mpaka mda huu wafikia (6) sita
Eeeeeeh ya~allah tunusuru na huu ugonjwa

Idadi inaongezeka mpaka sasa wamefikia 3
18/03/2020

Idadi inaongezeka mpaka sasa wamefikia 3

“Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na corona pia” - MAJALIWA

18/03/2020

Saudi Arabia imetangaza kuifunga Misikiti yake yote na kuwataka Waumini kuswali swala tano za kila siku na Swala ya Ijumaa wakiwa kwenye nyumba zao lengo likiwa ni kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona, Ibada itaendelea kwenye Misikiti miwili mitakatifu pekee ya Makka na Madina lakini milango ya Misikiti mingine yote inafungwa.

16/03/2020

Pg kura mara nyingi Diamond Platnumz Simba ashinde tuzo

Address

Adachadaudi6@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Adacha business man posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share