Ubuyu midia habar za ulimwengu

Ubuyu midia habar za ulimwengu Yanga fans

Sorry kuna mwenye swali hapa nyoshakidole Kishan jibu swali 🀠πŸ”₯πŸ”₯πŸ€“πŸ€“πŸ€“
01/06/2026

Sorry kuna mwenye swali hapa nyoshakidole Kishan jibu swali 🀠πŸ”₯πŸ”₯πŸ€“πŸ€“πŸ€“

Niazime bunduki hapo malamoja kuna dogo anasumbua malamoja unajua nini kilifataπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€ πŸ€ 
30/05/2026

Niazime bunduki hapo malamoja kuna dogo anasumbua malamoja unajua nini kilifataπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€ πŸ€ 

Sema lolote hapo najua huna Baya au 🀠🀠🀠
25/05/2026

Sema lolote hapo najua huna Baya au 🀠🀠🀠

25/05/2026

Sema okello ligi anaweza babu jitaidi upone Moto ulio uwasha uje ujizimie we mwenyewe 🀠🀠🀠πŸ”₯πŸ”₯

25/05/2026

K**A UNAKITU JAMANI 🀠🀠🀠Wewe ni Mwana - Simba lkn Mara nyingi huwa sikuamini maana wewe ni mropokaji. Mara nyingi huwa unatoa CODE, Sasa jiangalie, k**a kweli una Uchungu na Simba tafuta njia nyengine ya kuiangamiza Yanga na kuisaidia Simba na usitegemee msaada wa Azam. Kwani k**a una kumbukumbu kweli hawa Azam si ndiyo kizuizi cha Simba miaka yote kuukosa Ubingwa? Usijidanganye, siku zote Azam si msaada kwa Simba kupata mafanikio badala yake ni kikwazo kwetu na Mara zote ni msaada kwa UTOPOLO. Na utaona mechi zote Azam akiangamizwa, mimi niko hapa utakuja kuniambia. Hakuna haja ya kuropoka tafuta njia ya kuisaidia Simba kushinda mechi zake, na tafuta njia ya kuhakikisha UTOPOLO hawashindi mechi zao zote na si kuwategemea watengeneza RAMBA RAMBA.

Tuwaskilize wahenga kwa sasa
25/05/2026

Tuwaskilize wahenga kwa sasa

Hakuna kitu  Timu ilikuwa ya tano leo ya 11 . Shida sisi simba na yanga mashabiki tu washamba kupitiliza,yaan ni watu wa...
25/05/2026

Hakuna kitu
Timu ilikuwa ya tano leo ya 11 . Shida sisi simba na yanga mashabiki tu washamba kupitiliza,yaan ni watu wa kukalili maisha, tukishakutana na mtibwa tukambamiza 5 bili tunatamani kuwajengea sanamu viongozi na bechi la ufundi. Lakini uhalisia viongozi wanatukwamisha sana yaan kwa maoni yangu ifike sehemu mdhamini wa club nikuingia naye mkataba kuwa tunataka club yetu kimataifa icheze nusu final au final kabisa. Lakini hii mikataba ya kumfunga mtani pekee haitufikishi kabisa kwenye nchi ya ahadi

Babu yako anasemaje huko umemupigia simu 🀠🀠🀠πŸ”₯πŸ”₯
22/05/2026

Babu yako anasemaje huko umemupigia simu 🀠🀠🀠πŸ”₯πŸ”₯

Yanga wanaimani na mwamunyeto macho yote yapo kwake 🀠🀠🀠
22/05/2026

Yanga wanaimani na mwamunyeto macho yote yapo kwake 🀠🀠🀠

Wachambuzi hatulali nini maoni yako πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€ πŸ€ πŸ‘‰πŸ‘‰ Okelo nibola kuliko chauma K**a unabisha chukuwa natakwimu zasingida mana ch...
21/05/2026

Wachambuzi hatulali nini maoni yako πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€ πŸ€ πŸ‘‰πŸ‘‰ Okelo nibola kuliko chauma K**a unabisha chukuwa natakwimu zasingida mana chauma kaanza ligi okelo kaanza mwez wapiliπŸ”₯πŸ”₯

Address

Dar Es Salaam
4500

Telephone

+255742496777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ubuyu midia habar za ulimwengu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share