AZAM marix CRUST Complex

AZAM marix CRUST Complex This page has come for person who want to share their ideas which surrounding their environments. Le

16/06/2021

Nimahususi wakala wa kutangaza shvle za binafsi na kuzisaidia jinsi ya kupata wanafunzi ambo tunaingia mkataba mdogo aidha wazazi wazazi /walezi kulngia nao mktaba mdogo pia kulingana na mahitaji ya atoto wao

Hiini shule yabweni kidato  i--iv  mimi wakala kupata wanafunzi  mob.  0689895511
16/06/2021

Hiini shule yabweni kidato i--iv mimi wakala kupata wanafunzi mob. 0689895511

10/09/2018
Follow this link to join my WhatsApp group:
07/09/2018

Follow this link to join my WhatsApp group:

Follow this link to join

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/0ZaJ8bVM3RDCJ7WmUQfIli Ndugu zangu tunawaalika kat...
05/09/2018

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/0ZaJ8bVM3RDCJ7WmUQfIli Ndugu zangu tunawaalika katika group hili ili kuweza kuweka fikira zetu pamoja.
Taifa letu linachagamoto nyingi na hizi changamoto zinatuhitaji sisi k**a wasomi kusaidia kuzitatua .
Tukaona ni muafaka tukae pamoja k**a jamii tuone sisi tufanye nini ili ikiwezekana basi tuweze kuacha alama Ya vidole vyetu katika taifa letu.
Tumedhamilia kuwa AMCOS itakayo jishugulisha na Kilimo cha michikichi na sunflower nchini na kuzalisha Mafuta yake. Tumekuwa na wazo la kuandaa proposal to develop high-scale commercial agricultural on growing oil Palm and sunflowers and extracting oil.
Kwa nini amcos na siyo saccos
1. Ni umuhimu wa project yenyewe
2. Ushirikishwaji wa jamii hasa sisi wenyewe
3. Kuiweka project kuwa Ya Kijamii na hasa upatikanaji wa loans na Partnership.
4. Kutafuta government grantee.
5. Kujenga uwezo wa kujisimamia wanyewe Nk.
Tunaamini katika haya kuwa tutasaidia kulifanya taifa liondokane na uagizaji wa Mafuta Ya kula nje Ya nchi. Pia tutakuza uchumi wa taifa letu na sisi wenyewe . Tutakuza ajira na kuleta mabadiliko makubwa ya kilimo nchini kwetu wenyewe na out growers.
Tutaliletea taifa fedha za kigeni kwani tunaamini kuwa tutafanya na mauzo nje ya nchi. Mafuta na by products zitakazo patikana.
Kwa ujumla tumekwisha fanya jitihada kubwa za kuandaa proposal ya hiyo project yetu na imefika pazuri.
Lakini tukasema kwanza tunatakiwa tuwe na chombo kitakacho simamia ili wazo ndiyo tukasema ni Mimi na wewe.
Tunawaalika kwa pamoja tuweke mawazo yetu pamoja kwa ushirika wa pamoja na upendo uliotukuka tushirikiane.
Kwani kidole kimoja hakivunji chawa.

Kwenye wazo letu ili tuweka skeleton hii na imefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa. Table of contents of the project.
1.Introduction and background of the project.
2. Executive summary
3. About uchumi Amcos
4. The project concept
5. Importance of growing commercial agriculture
6. Tanzania business environment
7. Market analysis -palm oil.
8. Market analysis of sunflower oil
9. Market strategy
10. Technical aspects
11. Management and organisation
12.Implementation and Operation plan
13. Risks and risks mitigation
14. Financial and economic evaluation
15. Financial requirements
16. Conclusion and recommendation
17.annexes
Kwa ufupi kazi hii inaendelea vizuri tunataka tuweke nguvu na Malengo yetu pamoja ili tuwe sehemu ya kusaidia taifa letu.
Ni aibu kubwa Tanzania 70% Ya Mafuta yet yanaagizwa Toka nje Ya nchi. Ardhi tunayo na watu tupo.
Karibuni Sana. Ukiwiwa ndio utaungwa.
Tafadhali kwa mtu ambaye huna nia na kilimo au kuwa katika umoja wa kilimo usijiunge!

Follow this link to join

11/05/2018
11/05/2018
11/05/2018
26/04/2018

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AZAM marix CRUST Complex posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share