08/07/2025
Tupigie simu 0789-100 100 au 0675-200 300
—
Barabara hii imeanza kuwekwa lami kutokea madale. Kinagusa barabara kubwa ambayo soon inakuwa na lami.
Panafaa sana kujenga fremu, carwash+ garagehardware, bar na biashara zote unazojua zinahitaji barabara kubwa.
—
Asking price: tsh mil 33 maongezi yapo.
—
Kina hati miliki. Transfer nakufanyia bure kabisa
—
Location: kipo Bunju A mji mpya barabara inayotoka madale kwenda hospitali ya wilaya ya mabwepande
—
Ukubwa: kina SQM 540
—
Tupigie simu 0789-100 100 au 0675-200 300
ofisi zetu zipo tegeta azania CHIEF HOUSE ghorofa ya kwanza