Switch on africa

Switch on africa lengo la jukwaa hili ni kuwawezesha vijana na kinana kiuchumi , hasa katika kazi , uwekezaji na bias

HABARI NJEMATIMIZA NDOTO YAKO LEOTUNAANZA NA DAR ES SALAAMSWITCH ON AFRICA , EAGLES NA GIFT OF LEGACY  TUNASHIRIKIANA KU...
19/07/2022

HABARI NJEMA
TIMIZA NDOTO YAKO LEO
TUNAANZA NA DAR ES SALAAM

SWITCH ON AFRICA , EAGLES NA GIFT OF LEGACY TUNASHIRIKIANA KUPANDISHA MTAJI WAKO UKIWA BINAFSI ,MWANAFUNZI, MFANYAKAZI ,MUAJIRIWA, BIASHARA NDOGO NDOGO . KUANZIA 250,000 HADI 2000000 NDANI YA NWEZI MMOJA.

VIGEZO
1. UWE MKAZI WA DAR
2. DINAFSI AU KIKUNDI
3. UJUE KUSOMA NA KUANDIKA.
4.KIAZIO ANGALAU 250,000
5. MCHAPAKAZI.
6. WAZO LA BIASHARA AU MATUMIZI MENGINE YA FEDHA

MAZINGATIZO.

-HII SI NETWORKING

-USITUME AU KUMPA MTU YOYOTE PESA YAKO

- HATA UKIFIKA OFISINI USIMPE MFANYAKAZI YOYOTE PESA YAKO.

- KWA WATU WENYE VIKUNDI,WANAFUNZI ,WALIOMALIZA CHUO WANANAFASI ZAIDI.

NAFASI KUMI(10)TU
KATI YA WENGI TUTACHAGUA WACHACHE.

MAWAZILIANO
YUSUPH MAGOMOLA
CEO:SWITCH ON AFRICA

WHATSAPP 0654208606
CALL 0654 208606

LENGO KUWASAIDIA WATU WASIO NA KAZI NA WENYE MTAJI MDOGO

MUNGU AWABARIKI

It is where the vision get supported
01/07/2021

It is where the vision get supported

*Chai ya leo.Focus
09/02/2021

*Chai ya leo.
Focus

*Chai ya Leo* *Usichanganye Malengo Na Tamaa* . Lengo ni kitu ambacho unakitaka hasa, kitu ambacho umekifikiria kwa muda...
09/02/2021

*Chai ya Leo*

*Usichanganye Malengo Na Tamaa* .

Lengo ni kitu ambacho unakitaka hasa, kitu ambacho umekifikiria kwa muda mrefu na kinajirudia kwenye fikra zako mara kwa mara.

Matamanio ni vile vitu
ambavyo unavutiwa navyo kwa sababu umeviona au wengine wanavyo.

Tamaa huwa ni matokeo ya awali, na hivyo huwa ni kikwazo kwako kufikia malengo ulyojiwekea.

*Nawatakia Siku Njema na Yenye *

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Switch on africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share