Mapuga Bodaboda Co Ldt

Mapuga Bodaboda Co Ldt Wauzaji wa pikipiki za mtumba na kutoa mikataba ya pikipiki za biashara yaani bodaboda

Pikipiki inauzwa chuma ya kazi Ina vibali vyote halali Piga 0782019645
28/08/2022

Pikipiki inauzwa chuma ya kazi
Ina vibali vyote halali
Piga 0782019645

>Kama unatafuta au una mpango wa kununua pikipiki used sasa au baadae kwa ajili ya bodaboda au Matumizi binafsi basi hii...
02/04/2022

>Kama unatafuta au una mpango wa kununua pikipiki used sasa au baadae kwa ajili ya bodaboda au Matumizi binafsi basi hii inakuhusu.
>Lakini pia tunatoa pikipiki zenye mkataba nafuu na mfupi pamoja na pikipiki za hesabu.
> Chukua namba yetu 0782019645 tuma sms Whatsapp andika "save" nasi tutasave namba yako ili uwe unaziona pikipiki zetu zote tunazo zipost kwa status, pia tutakupa link ya group la whatsapp ukipenda utajiunga pia.
KUMBUKA
>Pikipiki zote ni halali na zina documents original za kuthibitisha uhalali wake
>Mkataba wa makabidhiano kisheria ya pikipik ya hesabu unapata pindi utakapo chukua pikipiki toka kwetu
>Mkataba wa makabidhiano yakisheria ya pikipiki ya mkataba unapata pindi utakapo chukua pikipiki kwetu
>Mkataba wa mauziano kisheria unapata pindi ununuapo pikipiki toka kwetu.
>Mikoani tunasafirisha vizuri kabisa
>Pikipiki zetu zinaanzia 500,000 tu.
Nb.. pikipiki za mkataba na hesabu ni kwa wakazi wa kigamboni na viunga vyake tu
🌐TUPO DAR ES SALAAM, KIGAMBONI
📱Kwa maelezo zaidi tupigie simu namba 0782 019 645 au 0736 019 645

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mapuga Bodaboda Co Ldt posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share