JAMBO SOLAR solution, TZ

JAMBO SOLAR solution, TZ solar solutions

20/09/2023

OFFER!!OFFFER!!OFFER!! 🇹🇿🇹🇿

Kuna offer ya taa ya 200W ambayo imeundwa kwa silicon mono crystalline ambayo inauwezo wa kustahimili hali zote za anga( ubora umetiliwa maanani).

Maelezo ya taa ya 200W.
Taa imeundwa kutumia silicon mono crystalline (ubora umetiliwa maanani) Hii taa inatumia miale ya jua Pekee kucharge na inauwezo wa kuwaka masaa ishirini na mannne Taa hii Iko na photocell, kumaanisha inajiwasha jioni giza linapoingia na kuzima jua linapo chomoza. Motion sensor ipo kwa hii taa ambapo mtu akipita inaongeza mwanga zaidi.Bomba la hii taa ni foot moja ambalo husaidia katika kufunga mahali linapotakikana mfano; manyumbani, hotelini,shelli, mahali pa kuosha magari, mahali pa kupitia nk

Bei ya taa ya 200W.
*Bei ya taa ya hapo awali ilikuwa Tzs 120,000*
*Bei ya offer ni Tzs 80,000*

Fanya agizo lako leo uweze kupata taa lako kwa bei ya chini zaidi uweze kuokoa Tzs 40,000
(HII OFFER IKO KWA LEO 20/09/2023 PEKEE YAKE HADI SAA KUMI NA MBILI)

UMAKINI: kwa wateja wetu ambao WAKO UPANDE WA DAR ES SALAAM tunafanya
delivery unalipa BAADA ya KUPOKEA taa.

Kwa walio nje ya dar es salaam, unaweza kumtuma rafiki ama mtu wa Karibu nawewe kwetu aje akuchukulie ama tumpeleke mahali alipo. Kwa wasiyo kuwa na watu wa Karibu upande wa DAR huwa tunaweka mikakati ya kukutumia taa kulingana na mapendekezo yako.

Duka letu liko Kariokor Dar es salaam,Amani street Karibu na msikiti wa Makonde.KARIBUNI WOTE.
Kuiwasiliana nasi bonyeza au piga https://wa.me/+255769309521

05/09/2023

OFFER!! OFFER!!
Hujambo. Tunayo hapa ni solar back up kit ambayo matumizi yake ni ya ndani,pia ni nyepesi kubeba kumaanisha unaweza safiri nayo mahali popote.

Hii back up kit inakuja na bulbs tatu, mwenge mmoja uliounganishwa na betri, USB charger inayouwezo wa kucharge simu aina Zote. panel Iko na cable ya mita tano na charger ya kucharge betri kwenye stima.

Inadumu masaa ishirini na mannne katika majukumu yake. Tunapeana warranty ya mwaka mmoja.Pata hii bidhaa Ili kutatua tatizo la kucharge simu na pia tatizo la mwanga ndani mwa nyumba ama mahali popote pale wakati umeme haupo.

Bei ya back up kit ilikuwa Tzs 130,000
Bei ya hivi sasa ni Tzs 100,000

PATA YAKO LEO KATIKA HIKI KIPINDI KIFUPI CHA OFFER UWEZESHE KUOKOA SHILLINGI TZS 30,000.

Ukiwa maeneo ya Dar es salaam tunapeana huduma za delivery kwa Tzs 10,000. Office zetu zipo kariokor Amani street Karibu na msikiti wa Makonde.

UMAKINI. Ukiwa maeneo ya Dar es salaam UNAFANYA MALIPO BAADA YA KUPOKEA TAA. Kwa wateja wetu walioko mikoani tunaweka mikakati ya kutuma hii back up kit kulingana na mapendekezo yako.

04/09/2023

OFFER!! OFFER!! OFFER !!

Hujambo. Tunayo hapa ni solar back up kit ambayo matumizi yake ni ya ndani,pia ni nyepesi kubaba kumaanisha unaweza safiri nayo mahali popote.

Hii back up kit inakuja na balbu tatu, mwenge mmoja uliounganishwa na betri, USB charger inayouwezo wa kucharge simu aina yoyote, panel ambayo ina cable ya mita tano na charger ya kucharge betri kwenye stima.

Inadumu masaa ishirini na mannne katika majukumu yake. Tunapeana warranty ya mwaka mmoja.Pata hii bidhaa Ili kutatua tatizo la kucharge simu na pia tatizo la mwanga ndani mwa nyumba ama mahali popote pale wakati umeme haupo.

Bei ya back up kit ilikuwa Tzs 130,000
Bei ya hivi sasa ni Tzs 100,000

PATA YAKO LEO KATIKA HIKI KIPINDI KIFUPI CHA OFFER UWEZESHE KUOKOA SHILLINGI TZS 30,000.

Ukiwa maeneo ya Dar es salaam tunapeana huduma za delivery kwa Tzs 10,000. Office zetu zipo kariokor Amani street Karibu na msikiti wa Makonde.

UMAKINI. Ukiwa maeneo ya Dar es salaam UNAFANYA MALIPO BAADA YA KUPOKEA TAA. Kwa wateja wetu walioko mikoani tunaweka mikakati ya kutuma hii back up kit kulingana na mapendekezo yako.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255769309521

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAMBO SOLAR solution, TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JAMBO SOLAR solution, TZ:

Share