14/03/2024
Nakutakia siku iliyojaa furaha na mwaka uliojaa furaha.
Tabasamu kwa kila dakika ya siku yako maalum
Uwe na wakati mzuri na siku njema ya kuzaliwa
Natumai siku yako maalum itakuletea yote ambayo moyo wako unatamani.
It's a beautiful day..Happybirthday Masozy.